Habari za Yanga SC
Habari za michezo

MOTO WA YANGA WAIKUMBA LIGI KUU MOROCCO…NABI AFANYA MAAJABU HAYA

Marce Ben Komba April 24, 2024 11:16 am

Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat.

Hadi sasa FAR Rabat wanaongoza Ligi kuu ya Morocco (Botola Pro) wakiwa na alama 64 baada ya mechi 26 na tayari wameshakata tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL kwa msimu ujao.

Kocha Nasreddine Nabi anahitaji pia ushindi wa mechi 3 tu ili aweze kuwa bingwa wa Morocco msimu huu ambapo atafikisha alama 73.

WACHEZAJI WA YANGA WATIMULIWA AZAM COMPLEX…WALIKUWA WAKIFANYA MAZOEZI…ISHU NZIMA IPO HIVI : FURSA YA UTAJIRI NI SHINDANO LA EXPANSE KASINO NDANI YA MERIDIANBET….