MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U..."SIKUPEWA SAPOTI NA UONGOZI...AMEONGEA HAYA
kimataifa

MOURINHO AVUNJA UKIMYA AWACHANA MAN U…”SIKUPEWA SAPOTI NA UONGOZI…AMEONGEA HAYA

Marce Ben Komba April 24, 2024 10:51 am

Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa.

Katika mahojiano na gazeti la Telegraph, Mourinho alilalamikia kutopewa usaidizi mkubwa wa kitaalamu wakati wa enzi zake, ambao anahisi kwasasa Ten Hag ananufaika nao.

MANJI AWAKATAA WANA YANGA…MECHI YA SIMBA ISINGEONYESHWA TU…AMEFUNGUKA HAYA WACHEZAJI WA YANGA WATIMULIWA AZAM COMPLEX…WALIKUWA WAKIFANYA MAZOEZI…ISHU NZIMA IPO HIVI