Habari za Simba leo
Habari za michezo

SIMBA WAPATA MBADALA WA STAA WAO HUYU…KUMBE WATUA KWA DROGBA…ISHU NZIMA HII HAPA

Marce Ben Komba April 27, 2024 10:42 am

Winga wa timu ya Asec Mimosas, Serge Pokou @tgvnational_p23 raia wa Ivory Coast anatajwa huko Msimbazi kwenda kuchukua nafasi ya Willy Essomba Onana ambae ameonekana kuwa msimu mbaya.

Serge Pokou mwenye umri wa miaka 23 msimu huu ameichezea ASEC Mimosas mechi 12 kwenye CAF Champions League akifunga magoli matatu akitoa assist 1.

Hali ya Willy Essomba Onana ndani Simba SC imezidi kuwa mbaya haswa siku za karibuni huku klabu ya Super Sports United ya Afrika Kusini ikitajwa kuiwinda saini ya nyota huyo raia wa Cameroon.

Onana amekuwa akiwasiaida Simba katika michezo ambayo simba anahitaji alama muhimu.
ASEC WATARUHUSU OFA YA MNYAMA??

KOCHA COASTOAL UNION ASALENDA KWA YANGA…”WALITAKIWA KUTWAA UBINGWA AFRIKA SLOTI YA MEGA JADE KASINO USHINDI KWA NJIA 10…..