Habari za Simba leo
Habari za michezo

BODI YA LIGI YAMFUNGIA CHAMA…APIGWA FAINI HII…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z

Marce Ben Komba May 1, 2024 8:36 pm

Kiungo wa Simba Sports Club, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) ya ligi na kutozwa faini ya Shilingi Milioni 1 (Tsh.1,000,000) kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage wa Yanga wakati wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo.

Chama atakosekana katika michezo ambayo ni Simba dhidi ya Mtibwa, Tabora pamoja Azam FC.

Ni mara ya tatu kwa Chama kufanya kitendo kama kile. Aliwahi kumkanyaga kwa maksudi Fei Toto akiwa Yanga, Abal Kassim Suleiman wa Ruvu Shooting mwishoni mwa msimu uliopita na akafungiwa mechi za mwisho wa Ligi.

USIYEMPENDA KAJA…AZIZ KI KUBEBA TUZO HIZI BONGO…USTAA WALETA MAJIVUNO KISA KARIAKOO DABI YANGA YAPIGWA FAINI…KULIPA MAMILIONI HAYA…WAFANYA KOSA HILI