Habari za Yanga leo
Habari za michezo

AUCHO AWAGEUKIA WACHEZAJI…”MKITAKA NIWE MTU MBAYA NITAFANYA HIVYO

Marce Ben Komba May 3, 2024 9:29 pm

Kiungo mkabaji wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho ‘Daktari wa Mpira’ amesema kuwa iwapo watu wanataka awe mtu mbaya basi atafanya hivyo.

Aucho ambaye ametoka majeruhi aliyokaa kwa mwezi mzima ametoa kauli hiyo ikiwa ni mechi tatu mfululizo akifanyiwa, mmadhambi (fouls) za makusudi huku akiamini kuwa kisasi ni haki.

Mechi ya juzi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la NBC dhidi ya Tabora, Aucho alishindwa kuendelea.
Jana Aucho aliandika maneno haya akimnukuu Zlatan Ibrahimovic; “Ikiwa unataka niwe mtu mzuri nitakuwa mtu mzuri na ikiwa unataka niwe mtu mbaya pia nitakuwa mtu mbaya,” amesema Aucho.

“SIO KWAMBA NI MZURI SANA…MCHAMBUZI AMVAA AZIZ KI…MAGOLI KIPA WANAMBEBA HOFU YATANDA KWA MASHABIKI SIMBA…WAHOJI YANGA WATAJWA WAFUNGUKA HAYA