SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI...ANATOKEA MISRI HUYU HAPA
Habari za michezo

SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI…ANATOKEA MISRI HUYU HAPA

Marce Ben Komba May 6, 2024 11:32 am

Inaelezwa kuwa Simba SC ipo kwenye mipango ya kumsainisha mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu Kwa Jina la Mabululu raia wa Angola.

Hii ni kufanya maboresho kwenye safu ya ushambuliaji ya kikosi hicho na za ndani kabisa zinaeleza kuwa huenda akawa mchezaji anaelipwa mshahara mnono zaidi kwenye Ligi Kuu Bara.

Nyota huyo amefunga magoli 10 kwenye mechi 16 za Egyptian Premier League msimu huu.

MASTAA HAWA SIMBA NA YANGA KUWA GHALI SOKONI…AZIZ KI NA CHAMA WATAJWA MGUNDA AONYESHA UBABE LIVE…NO CHAMA NO PROBLEM…MASTAA HAWA KUSUGULISHWA