Habari za Simba leo
Habari za michezo

SIMBA YAPELEKA KILIO HIKI YANGA…KUMSAJILI BEKI HUYU KISIKI…ISHU NZIMA HII HAPA A-Z

Marce Ben Komba May 7, 2024 11:08 am

Uwezekano wa aliekuwa mlinzi wa Yanga, Djuma Shaban Kujiunga na Simba SC ni Mkubwa,
Mlinzi huyo wa kulia wa zamani wa klabu ya Yanga ameingia kwenye mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Simba.

Taarifa kwa Djuma Shaban kuhitajika ndani ya klabu ya Simba zilianza kusambaa jana Mei 6, ingawa mazungumzo ya Maslahi, Ada ya usajili na Stahiki zingine yamepangwa kuanza siku ya leo Jumanne.
Lolote linaweza kutokea

CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…HII HAPA LIST KAMILI YA WACHEZAJI WANAOLIPWA ZAIDI  LIGI KUU YA NBC MABOSI SIMBA WATUA NYUMBANI KWA KINA PACOME…MIPANGO YATEKELEZWA KIMYA KIMYA