Habari za Simba leo
Habari za michezo

TETESI:MZAMIRU KUONDOKA SIMBA…ATIMKIA TIMU HII BONGO…KIBU KUSAINI

Marce Ben Komba May 8, 2024 9:31 pm

Wakati Simba ikiwa kwenye mapambano ya kuhakikisha Kibu Denis anasaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Msimbazi, kuna tetesi kuwa Mzamiru Yassin yupo kwenye mawindo ya Ihefu na Azam FC.

Inatajwa kuwa tayari Ihefu imewasilisha ofa mezani kwa Mzamiru huku Azam FC ikiwa imeonesha nia ya kutaka kumsajili kiungo huyo ambaye amedumu Simba kwa muda mrefu tangu aliposajiliwa akitokea Mtibwa Sugar.

Mkataba wa Mzamiru na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu lakini hadi sasa bado hajaongeza mkataba mwingine, kwa hiyo kama Simba haitamuongezea mkataba mpya huenda akaondoka akiwa mchezaji huru.

SIMBA KUFANYA USAJILI HUU WA KUTISHA…KUSHUSHA MASHINE HII  HATARI AZIZ KI AMGEUKIA GUEDE YANGA…DICKSON JOB AINGILIA…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z