Habari za Simba- Onana
Habari za Simba Leo

πƒπˆπ‹πˆ 𝐋𝐀 πŽππ€ππ€ πŠπ–π„ππƒπ€ 𝐐𝐀𝐓𝐀𝐑 π‹πˆπŒπ„π…π„π‹πˆ π‘π€π’πŒπˆ

Abubakar August 8, 2024 12:20 pm

Dili la mchezaji wa Simba Willy Esomba Onana huenda lisitimieΒ  baada ya Uongozi na kamatiΒ  ya usajili kuanza kumjadiliΒ  kwa kina mchezajiΒ  huyo.

Vilabu vya Qatar huwa vinapendekeza mchezaji wanayemtaka kumsajili kisha kuna kamati hukaa chini kumjadili mchezaji na kuchukua uamuzi wa mwisho.

Kuna baadhi ya vitu huangalia kama vile:

  • fomu ya wachezaji

  • malengo + usaidizi

  • rekodi za matibabu au majeraha

  • nk

Inaonekana kamati haipendezwi na kiwango cha Onana na hawana uhakika kama anaweza kufanikiwa kwenye ligi hiyo na wamependekeza kutokuendlea na mpango huo.

Kama dili Ili likishindikana basi klabu hiyo itamrudisha kwenye Timu yake ya Simba Sc ambayo ana mkataba nayo Simba italazimika kumtaftia Klabu nyingine.

Onana aliondoka Simba na nafasi yake ilichukuliwa na Kipa Musa Camara,aula klabu ya Simba imtoe Ayoub Lakred ili Onana Baki maana inaonekana Bado anatakiwa kubaki Simba SC Tanzania

JB, NANDY, BILL NASS WATAMBIA SIMBA NA YANGA LEO AVIATOR INALIPA BALAA…CHEZA NA USHINDE….