HABARI ZA SIMBA
Habari za Simba Leo

SIMBA KUCHEZA NA AL AHLI HATUA YA PILI

Abubakar August 24, 2024 12:12 pm

NI RASMI Simba Sc itachuana na Al Ahli Tripoli kwenye hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya miamba hiyo ya Libya kufuzu kwenda hatua hiyo kufuatia ushindi wa jumla wa 5-1 dhidi ya Uhamiaji Fc ya Zanzibar kwenye mchezo wa hatua ya awali.

FT: Al Ahli Tripoli 🇱🇾 3-1 🇹🇿 Uhamiaji Fc (Agg. 5-1)

Mshindi wa matokeo ya jumla kati ya Simba Sc dhidi ya Al Ahli Tripoli atajikatia tiketi ya hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika 2024/25.

CHEZA EXPANSE KASINO, USHINDE MGAO WA MAMILIONI….. TUWE NA AKIBA YA MANENO…MUKWALA ANA BALAA