Home Habari za Simba Leo FREDDY AUKUBALI MOTO WA ATEBA…AITABIRIA SIMBA FAINALI

FREDDY AUKUBALI MOTO WA ATEBA…AITABIRIA SIMBA FAINALI

Habari za Simba leo

Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Kimataifa kwa jumla ya mara 6.

Freddy alisema licha ya ushindi, lakini amekoshwa na Ateba, huku akiitabiria kufika mbali.

“Nimekuja kuangalia mechi, nimekuja kuwaona rafiki zangu, unajua kwenye kikosi nina marafiki zangu wengi sana.

“Simba imecheza vizuri, imeshinda, ina wachezaji wazuri, imesajili wachezaji wengi wenye ubora, Ateba ni straika mzuri na amefunga, nadhani wataenda kufanya vizuri msimu huu, nawatabiria fainali,” alisema.

SOMA NA HII  PAMOJA NA ZAWADI YA JEZI NA MAJANI YA CHAI...CEO WA ASANTE KOTOKO ASHINDWA KUJIZUIA AFUNGUKA HAYA KUHUSU SIMBA...

1 COMMENT

  1. […] Leonel Ateba ni mshambuliaji mzuri, ndani ya mechi chache ameonesha kiwango murua sana na kuisaidia timu yake kwenye upatikanaji wa matokeo mazuri. […]

Comments are closed.