Home Meridianbet PATA NAFASI YA KUWA TAJIRI NA MERIDIANBET….

PATA NAFASI YA KUWA TAJIRI NA MERIDIANBET….

Meridianbet

Mechi mbalimbali za mataifa zinaendelea ambapo wakali wa ODDS KUBWA Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo kibao kwenye mechi zote utakazobeti. Unasubiri nini sasa?. Ingia na ubashiri hapa.

Anza nafasi ya kusaka maokoto mechi ya Ghana vs Sudan ambaye ana pointi zake 3 kwenye mechi mbili alizocheza wakati mwenyeji yeye akiwa na pointi 1 pekee. Mechi ya mwisho kukutana, Ghana aliondoka na ushindi. Je leo hii kwa ODDS 1.27 kwa 10.78 Sudan anaweza kulipa kisasi?. Jisajili hapa.

Wakati huo huo Zimbabwe atakuwa ugenini kumenyena dhidi ya Namibia ambaye leo amepewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.65 kwa 2.89. Mwenyeji alipoteza mchezo wake uliopita, huku mgeni yeye aliambulia sare ya bila magoli. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Je Beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Bashiri sasa.

Tusua kibingwa na mechi za Mataifa leo, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Tanzania naye atakiwasha ugenini leo dhidi ya DR Congo ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi. Stars wa 2 na DR anaongoza ligi. Vijana wa Hemed Moroco wanahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu Afcon. Meridianbet wamewapa Stars ODDS 7.05 kwa 1.47. Beti mechi hii.

Naye Algeria ambaye ndiye kinara wa Kundi E, atakuwa mwenyeji wa Togo ambaye yupo nafasi ya 2 kwenye msimamo. Mwenyeji ameshinda mechi zote mbili huku mgeni yeye akitoa sare mechi zake mbili. Mara ya mwisho kukutana, Togo alichapika akiwa kwake. Je leo hii atalipa kisasi?. Jisajili hapa.

Kule Ulaya pia mechi hizi za Mataifa zitaendelea ambapo Italy ya Spalletti itakipiga dhidi ya Belgium. Spalletti ameshinda mechi zake mbili zote huku Mbelgiji yeye akishinda mechi moja na kupoteza nyingine. Mara ya mwisho kuonana Italy alishinda nyumbani. Je ataendeleza ubabe wake nyumbani?. Bashiri hapa.

England uso kwa uso dhidi ya Greece katika dimba la Wembley mchezo ambao utapigwa majira ya saa 3:45 usiku. Timu hizi zote zina pointi 6 kwenye msimamo huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.28 kwa 10.78. Suka jamvi hapa.

France atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Israel ambaye kwenye mechi mbili alizocheza amepoteza zote. Vijana wa Deschamps wameshinda mechi moja na kupoteza moja. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa 2005 ambapo hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Je nani kushinda leo?. Mechi hii ina ODDS 10.78 kwa 1.18. Jisajili hapa.

Venezuela atakipiga dhidi ya Argentina ya Messi ambao leo hii wana nafasi kubwa ya kushinda kule Meridianbet wakiwa na ODDS 6.46 kwa 1.46. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 kwenye msimamo na mgeni wake anaongoza kundi hilo. Tofauti ya pointi kati yao ni 8. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.

Naye Ecuador ambaye alishinda mechi yake iliyopita, atakuwa uso kwa uso dhidi ya Paraguay ambaye naye pia alishinda. Mara ya mwisho walipokutana, Paraguay alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.59 kwa 6.07. Tengeneza jamvi hapa.

Vilevile Brazil ambao wapo nafasi ya 5 watakuwa ugenini dhidi ya Chile ambao wapo nafasi ya 9 kwenye kundi. Brazil walipoteza mechi yao iliyopita, huku Chile pia wakipoteza mechi yao iliyopita. Vijana wa Dorival Junior wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.66 kwa 5.48. Beti hapa.

SOMA NA HII  BADILISHA MAISHA YAKO NA MERIDIANBET LEO....