Home Habari za michezo KWA TAKWIMU HIZI TOKA AJIUNGE YANGA..UWEZO WA CHAMA UMEPANDA AU UMESHUKA..?

KWA TAKWIMU HIZI TOKA AJIUNGE YANGA..UWEZO WA CHAMA UMEPANDA AU UMESHUKA..?

HABARI ZA YANGA-CHAMA

Takwimu za kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Clatous Chama katika mechi nne za kwanza za msimu wa NBC Premier League 2024|25, ukilinganisha na mechi nne za kwanza kwenye misimu yake mitatu iliyopita.

Mechi nne za kwanza (2020|21)
◉ 4 – Games
◉ 2 – Goals scored
◉ 3 – Assists
◉ 5 – G/A

Mechi nne za kwanza (2022|23)
◉ 4 – Games
◉ 1 – Goals scored
◉ 1 – Assists
◉ 2 – G/A

Mechi nne za kwanza (2023|24)
◉ 4 – Games
◉ 2 – Goals scored
◉ 2 – Assists
◉ 4 – G/A

Mechi nne za kwanza (2024|25)
◎ 4 – Games
◎ 0 – Goals scored
◎ 0 – Assists
◎ 0 – G/A.

SOMA NA HII  KISA MWAMUZI KUSHINDWA KUMPA INONGA KADI NYEKUNDU DHIDI YA YANGA...TFF WAIBUKA NA UTETEZI HUU MUJARABU....