Home Meridianbet MERIDIANBET YATOA JEZI KWA JOGOO VETERAN….

MERIDIANBET YATOA JEZI KWA JOGOO VETERAN….

Meridisnabet

Kama inavyojulikana kuwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameendelea kuiangalia jamii kwa jicho tofauti ambapo wameendelea kuigusa jamii kwenye sekta mbalimbali na leo hii wamegusa sekta ya michezo ndani ya jamii.

Je unajua kuwa wanegusa sekta ya jamii kivipi?., Basi ni hivi Meridianbet leo hii waliamua kufunga safari moja kwa moja hadi Mbezi Juu na kupokelewa na Diwani wa eneo hilo mheshimiwa Anna Lukindo ambapo lengo lilikuwa ni kukutana na timu ya mpira ya Jogoo Veterani na kugawa jezi.

Timu hiyo ilikuwa na uhitaji na vifaa vya michezo ikiwemo jezi kwani hii ni mojawapo ya kitu muhimu sana ili kukamilisha timu ya mpira. Basi mapema kabisa Meridianbet walianza safari ya kukamilisha lengo lao.

Kwanini Meridianbet waliiona timu ya Jogoo Vetereani na sio zingine?. Hii ni kwasababu kuwa timu hii, ina wachezaji wenye uwezo na ambao wanajituma sana hivyo meridianbet waliona kuwa kuna haja ya kupeleka msaada hapo ambao utawasaidia kwenye mashindano mbalimbali.

Ukiachana na hilo kumbuka kuwa Jumamosi ya leo una nafasi ya kuwa bingwa na MeridianbetĀ  kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ikumbukwe kuwa timu hiyo inatarajia kuendelea kufanya vizuri katika mashindano yao na kuongeza ari ya michezo miongoni mwa wakazi wa Mbezi Juu hasa vijana kwani nguvu ya Taifa hili inajengwa na vijana.

Akizungumza wakati wa ugawaji wa jezi hizo, kukabidhi, Mhariri wa Meridianbet, Bi Nancy Ingram, alisema: “Tunajivunia sana kutoa msaada huu kwa Timu ya Jogoo Veteran, ambayo imekuwa nguzo muhimu katika kukuza michezo na umoja wa jamii hii. Tunategemea kwamba msaada wetu utaongeza nguvu kwa timu na kuhamasisha vijana wengi zaidi kushiriki katika michezo.”

Kwa upande wao, viongozi wa Timu ya Jogoo Veteran walishukuru Meridianbet kwa msaada wao, wakisema kwamba jezi mpya zitakuwa chachu ya kuongeza morali kwa wachezaji na kuhamasisha vipaji vipya miongoni mwa vijana.

Pia waliendelea kusema kuwa, “Huu ni msaada mkubwa kwetu, na tutahakikisha kwamba tunafanya mazoezi zaidi na kupambana kwa nguvu ili kuleta matokeo bora.”

SOMA NA HII  THE CURSED KING SLITI YA KASINO MPYA NDANI YA MERIDIANBET...