Home Meridianbet EARLY PAYOUT YA MERIDIANBET NDIO HABARI YA MJINI…

EARLY PAYOUT YA MERIDIANBET NDIO HABARI YA MJINI…

Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet imekujia mchongo kabambe kwenye tovuti yao ambapo wamekuletea chaguo jipya linalofahamika kama Early payout chaguo linawapa fursa wateja wanaobashiri mpira wa miguu kupiga mkwanja kirahisi.

Meridianbet wamekuja na kitu iinaitwa early payout hii ikiwa na maana mshindi atahesabiwa pale tu timu ambayo ameiwekea ubashiri kuongoza kwa tofauti ya mabao mawili, Kwa mfano inacheza Man United Vs Brighton na mteja ameiwekea ubashiri Man United na kuongoza 2-0 basi mteja huyo atahesabika mshindi.

Bonasi hii itahusisha  wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hicho kabambe kabisa kwajili ya kufanyia ubashiri wako kwenye ligi mbalimbali ambazo zitakuepo siku husika.

Kupitia mfumo huu utawawezesha wale wateja wa kubashiri mpira wa miguu kujipigia mkwanja kirahisi sana, Kwani ni chaguo zuri sana haswa kwa timu ambazo zimekua zina uwezo mkubwa wa kufunga magoli hii ni neema kwa wabashiri

 Early payout kwasasa inafanya kazi kwenye mpira wa miguu peke yake kwasasa ndani ya Meridianbet, Lakini upo mchakato madhubuti kuhakikisha chaguo hili linaanza kufanya kazi na kwenye mpira wa kikapu (Basketball) na wateja wanaobashiri upande huo waweze kufurahia chaguo hili matata kabisa.

Changamkia fursa leo ukijisajili na tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet uweze kushiriki shindano hili ambalo linaendelea, Ambapo kwa mteja yeyote ambaye atajisajili anaweza kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 na kuwekea kwenye akaunti yake.

Kwa matukio yote ya Early payout yatakua na alama ya kijana kwajili ya kukutambulisha wewe mteja kua chaguo ulilochagua limepewa hadhi ya Early payout na timu yako uliyoichagua ikifanikiwa kupata magoli mawili tayari mkeka wako utakua umetiki.

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO MERIDIANBET WANAVYOUAGA MWAKA 2022 KWA KUIGUSA KIJAMII....