Home Meridianbet TAWALA ANGA HUKU UNAPIGWA NA MVUA YA PESA KUTOKA SUPER HELL YA...

TAWALA ANGA HUKU UNAPIGWA NA MVUA YA PESA KUTOKA SUPER HELL YA MERIDIANBET…

Meridianbet

Wakati unatawala anga kupitia mchezo wa Super Heli unapata fursa ya kunyeshewa na mvua ya kifalme kupitia promosheni ya (Royalty Showers) ambayo inaendelea kupitia mchezo wa Super Heli na wateja wana fursa kujishindia maokoto kupitia promosheni hii.

Wakati huu ambao mchezo wa Kasino wa Super Heli umekua kivutio kikubwa kwa wadau wa michezo ya kasino na ndio wakati Meridianbet nao wamekuletea promosheni yao kabambe kupitia mchezo huu ili uweze kujishindia maokoto kiulaini kabisa.

Promosheni hii itachukua muda wa siku 25 kwani imeanza mwezi huu Febuari 3 mpaka Febuari 28 ndio itakua mwisho wa promosheni hii ambayo itakua inahusu mchezo matata wa kasino unaofahamika kama Super Heli.

Mvua ya kifalme itanyesha kila siku ambapo wachezaji kumi wa mwanzo wataweza kushinda beti za bure kila awamu, Kushinda beti za bure kila awamu kupitia promosheni hii itaweza kukusaidia kushinda mamilioni kwani kupitia beti za bure unaweza kutengeneza kitita cha kutosha.

Inafahamika kua wachezaji pekee waliojisajili kupitia tovuti ya Meridianbet ndio wataruhusiwa kushiriki promosheni hii na kuweza kushinda, Hivo ili uweze kua mshiriki na mshindi halali wa prpmosheni hii kabambe kwasasa ni kuhakikisha unajisajili na Meridianbet.

Kila wikiendi michezo tofauti tofauti itakua inaendelea kwenye ligi mbalimbali barani ulaya hivo ni nafasi kwako ya kuhakikisha unapiga mkwanja wa kutosha kupitia Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye machaguo zaidi ya 1000.

SOMA NA HII  LIPWA MPAKA MARA 40 YA DAU LAKO KWENYE KILA MKEKA WAKO....KUJUA ZAIDI FANYA HIVI...