Home Meridianbet PROMOSHENI YA MABILIONI NDANI YA MERIDIANBET….

PROMOSHENI YA MABILIONI NDANI YA MERIDIANBET….

Meridianbet

Meridianbet kwa kushirikiana na Playson Short races wamekujia na promosheni kabambe ambayo itakuwezesha kuibuka  na kitita kila siku, Kwani washindi watapatikana kila kwakua kitita cha shilingi bilioni tatu kipo kushindaniwa.

Playson Short races kama wasambazaji wa michezo mbalimbali kupitia michezo yao ndio unaweza kua sehemu ya washindi watakaoshindania kiasi cha  3,000,000,000 kila siku, Hivo wachezaji wa michezo ya kasino ni kwako wewe unaecheza michezo ya kasino kuweza kuibuka na mabilioni.

Bonasi hii itahusisha  wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hicho kabambe kabisa kwajili ya kufcheza michezo mbalimbali ya kasino iliyopo chini ya wasambazaji Playson Short races.

Promosheni hii imeanza tarehe 09 mwezi wa pili na kumalizika tarehe 28 mwezi huu wa pili hivo bado siku zipo za kutosha kuweza kujishindia Bilioni tatu na kubadilisha maisha yako kabisa kupitia promosheni hii kambambe ambayo haijawahi kutokea popote pale.

Michezo ya Playson Short races ambayo unaweza kucheza na kufanikiwa kua mshindi ni kama Book of Gold, Buffalo power, Burning Wins,Energy of Coins, Fire Coins, Arizona Heist, Energy Joker, Crystal Land, Diamonds Power, Fire Temple na michezo mingine mingi inayopatikana ndani ya Playson Short races.

Changamkia fursa leo ukijisajili na tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet uweze kushiriki shindano hili ambalo linaendelea, Ambapo kwa mteja yeyote ambaye atajisajili anaweza kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 na kuwekea kwenye akaunti yake.

Nakukumbusha tu Promosheni hii haisubiri mpaka mwisho wa Promosheni kwani hii ni Promosheni ya kila siku ambayo itadumu kwa takribani mwezi mmoja, Hivo washindi watapatikana kila siku mpaka siku ya mwisho ya Promosheni hii.

SOMA NA HII  CHEZA SLOTI YA SWEET BONANZA 1000 KASINO! USHINDI X25,000 YA DAU LAKO...