Home Meridianbet ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA PATA KIBUNDA MAPEMA LEO NDANI YA MERIDIANBET…..

ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA PATA KIBUNDA MAPEMA LEO NDANI YA MERIDIANBET…..

Meridianbet

Mechi kali za EPL leo hii zinaendelea ambapo nafasi ya wewe kuibuka bingwa ikiwa ni kubwa kwani odds za kibabe zipo Meridianbet. Tengeneza jamv lako la ushindi hapa.

Tukianza na Hispania leo hii kutakuwa na nusu fainali ya COPA DEL REY kati ya FC Barcelona vs Atletico Madrid ambapo kwenye ligi timu hizi zimepishana pointi 1 pekee huku mechi ya mwisho kuonana Hans Flick na vijana wake walipigika. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi na kutinga Fainali kwenye Copa del rey?. 1.68 kwa 4.60. Jisajili hapa.

Pia Italia kutakuwa na COPPA ITALIA mchezo mmoja wa Robo Fainali kati ya Inter Milan vs Lazio ambao kwenye ligi wapo nafasi ya 5 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana, Lazio alipigika vibaya mno. Je atalipa kisasi leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.80 kwa 4.30.

Jumanne ya mpunga mrefu hii hapa. Suka jamvi lako na Meridianbet leo, lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Uingereza, EPL leo hii kuna mechi za kukupatia mkwanja wa maana ambapo Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, vijana wa Fabian Hurzeler walishinda. Je mgeni atalipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 2.14 kwa 3.30. Bashiri hapa.

Fulham watasafiri kupepetana dhidi ya Wolves ambao walishinda mechi yao iliyopita, huku mwenyeji yeye akicheza kichapo nyumbani. Tofauti ya pointi kati yao ni 17 huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet ikiwapa nafasi ya ushindi sawa yaani ni 2.70 kwa 2.70. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Suka jamvi hapa.

Stamford Bridge kutakuwa  kutakuwa na mtanange mkali kati ya Chelsea dhidi ya Southampton ambao wapo nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi yaani wa mwisho. The Blues mara wa mwisho walipokutana na vijana wa ST. Marrys walishinda. Je wataendeleza moto wao na leo?. 1.20 kwa 13 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Pia katika dimba la Selhurst Park, Crystal Palace atakipiga dhidi ya Aston Villa ambao walishinda mechi yao iliyopita. Palace wanahitaji ushindi leo hii ili wasijekuangukia pabaya kabla ligi haijaisha. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 2.60 kwa 2.80. Wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.

 

 

SOMA NA HII  MASHINDANO YA EXPANSE KUTOA MILIONI TASLIMU.....