Home Meridianbet KIU YAKO YA USHINDI INATIMIA LEO HII…ODDS ZA UBINGWA HIZI HAPA…

KIU YAKO YA USHINDI INATIMIA LEO HII…ODDS ZA UBINGWA HIZI HAPA…

Meridianbet

Je unajua kuwa kiu yako ya kutaka ushindi inaweza kutimia siku ya leo ukiwa a wakali wa ubashiri Meridianbet?. Pale Italia, Ufaransa na hata kule Saudia kuna pesa zinakusubiri. Bashiri sasa.

Kule SAUDIA leo kuna michezo ya maana kabisa, Al Ahli baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Al Khaleej ambao wapo nafasi ya 11. Tofauti ya pointi kati yao ni 18. Nani kukupatia ushindi leo?. 1.30 kwa 8.40. Jisajili hapa.

Kwa Al Hilal wao ambao ni mabingwa watetezi baada ya kupoteza mechi yake iliyopita atakuwa na kibarua cha kushinda dhidi ya Al Feiha ambao wapo nafasi ya 14 wakiwa na pointi zao 22. ODDS za mechi hii ni 7.60 kwa 1.37. Suka jamvi hapa.

Huku Al Nassr wao watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Al Shabab FC huku tofauti ya pointi kati yao ni 8. Mara ya mwisho kukutana timu hizi kina Ronaldo na wenzake waliondoka na ushindi. Je wataendeleza moto wao na leo?. Mechi hii imepewa 1.82 kwa 3.75. Bashiri hapa.

Ijumaa ya kuibuka mshindi hii hapa, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

SERIE A pia ni kwa moto leo hii ambapo Cagliari Calcio ambao wapo nafasi ya 15 watakipiga dhidi ya Genoa ambao ni wa  12 huku mara ya mwisho kukutana walitoka sare ya kufungana. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ijiweke kwenye nafasi nzuri huku wakali wa ubashiri wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.50 kwa 3.20. Beti yako unaiweka wapi?. Suka jamvi hapa.

Ujerumani leo BUNDESLIGA, Borussia Monchengladbach baada ya kushinda mechi yao iliyopita, watakuwa nyumbani dhidi ya FSV Mainz ambao nao pia walishinda mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa yoyote kwa ODDS 2.70 kwa 2.70. Jisajili hapa.

Kule Ufaransa LIGUE 1 itaendelea hapo baadae AS Monaco atasafiri kukipiga dhidi ya Toulouse ambao mechi yao iliyopita wakishinda, halikadhalika kwa mwenyeji wao naye alishinda. Mwenyeji anashikilia nafasi ya 8 na mgeni wake nafasi ya 4. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.25 kwa 2.25.

Kule Uingereza CHAMPIONSHIP pia itaendelea kwa mchezo mkali kwelikweli, Norwich City atamualikwa kwake Oxford United ambao walipoteza mechi yao iliyopita, huku kwa mwenyeji yeye alitoa sare mechi yake iliyopita. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku nafasi ya ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.57 kwa 6.40. Tengeneza jamvi hapa.

SOMA NA HII  ONGEZA KIPATO CHAKO NA SLOTI YA MINI POWER ROULETTE NDANI YA MERIDIANBET...