Home Habari za michezo MASTAA SIMBA KAMA WOTEEE KIKOSI CHA STARS KIKIITWA KAMBINI….YANGA, AZAM MHH….

MASTAA SIMBA KAMA WOTEEE KIKOSI CHA STARS KIKIITWA KAMBINI….YANGA, AZAM MHH….

Taifa Stars

MACHI 14 2025 orodha ya wachezaji 24, wanaounda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ambacho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco imetajwa.

Chini ya Kocha Mkuu, Hemed Morocco nahodha Mbwana Samata atakosekana kwa kuwa hayupo fiti kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na hii hapa orodha yenyewe.
Yakoub Suleiman (JKT Tanzania)

Ally Salim (Simba SC)
Hussein Masaranga (Singida BS)
Shomari Kapombe (Simba SC)
Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
Mohamed Hussein (Simba SC)
Pascal Msindo (Azam FC)
Miraji Abdallah (Coastal Union)
Ibrahim Abdulla ‘Bacca’ (Yanga SC)
Dickson Job (Yanga SC)
Abdulrazaq Mohamed (Simba SC)
Ibrahim Ame (Mashujaa FC)
Haji Mnoga (Salford City, Uingereza)
Novatus Dismas (Coztepe FC, Uturuki)
Mudathir Yahya (Yanga SC)
Yusuph Kagoma (Simba SC)
Feisal Salum (Azam FC)
Charles M’mombwa (New Castle United Jets, Australia)
Kibu Denis (Simba SC)
Simon Msuva (Al-Talaba SC, Iraq)
Clement Mzize (Yanga SC)
Iddy Nado (Azam FC)
Selemani Mwalimu (Wydad Athletic Club, Morocco)
Kelvin John (Aalborg BK, Denmark)

SOMA NA HII  KOCHA MPYA YANGA 'AVURUGWA' NA CHAMA ....ALICHOKISEMA A-Z HIKI HAPA....