Home Meridianbet ODDS ZA KIJANJA ZA KWENDA NA USHINDI HIZI HAPA…CHAKUFANYA SIMPLE…

ODDS ZA KIJANJA ZA KWENDA NA USHINDI HIZI HAPA…CHAKUFANYA SIMPLE…

Meridianbet

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.

SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE itaendelea Alhamisi ya leo ambapo Al Qadsiah ataumana dhidi ya Al Wehda ambao walishinda mechi iliyopita halikadhalika kwa wenyeji wao. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote leo lakini anayepewa nafasi kubwa ya kushinda leo hii ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.40 kwa 6.60. Suka jamvi hapa.

Al Riyadh atakuwa na kibarua cha kukipiga dhidi ya Al Shabab ambao wanashika nafasi ya 6 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9. Tofauti ya pointi kati yao ni 16. Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamipa mechi hii ODDS 4.00 kwa 1.73.  Jisajili hapa.

Vinara wa ligi hiyo Al Ittihad watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Al Raed ambao kushinda mtanange huu wamepewa ODDS 9.80 kwa 1.24. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi hapa.

Piga pesa na Meridianbet ambapo mechi za ushindi zipo kibao leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Pia LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea leo ambapo Rayo Vallecano atakipiga dhidi ya Real Betis ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 11. Meridianbet wanampa mgeni nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 2.48 kwa 3.05. Je beti yako unaiweka wapi hapa kwa timu hizi mbili?. Bashiri sasa.

Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa ugenini kusaka ushindi ya CA Osasuna ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Atletico wao wametoka kutoa kipigo kizito mechi yao iliyopita. Takwimu zinaonesha kuwa mtanange wa mwisho kukutana, Osasuna walipoteza. Je leo hii watalipa kisasi wakiwa nyumbani?. ODDS za mechi hii ni 3.70 kwa 2.12. Jisajili hapa.

Mtanange mwingine ni huu wa Getafe dhidi ya Athletic Bilbao ambao wapo nafasi ya 4 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15. Kila timu inahitaji ushindi huku mara ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na pointi 4 au watatoshana tena nguvu tena?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.40 kwa 2.65.

Nao vijana wa Hans Flick FC Barcelona watakuwa ugenini dhidi ya Espanyol Barcelona ikiwa ni derby ndogo ambayo huwakutanisha kati yao. Barca wakishinda mechi hii leo hii watatngazwa kuwa mabingwa wapya wa Laliga 2024/2025. Je Espanyol watawazuia leo hii Barca kuchukua ubingwa?. Mechi hii ndani ya Meridianbet imepewa ODDS 7.00 kwa 1.40. Tandika jamvi hapa.

 

SOMA NA HII  IFANYE SIKU YAKO KUWA YA BAHATI NA CASINO HII YA MERIDIANBET...