Home Meridianbet MERIDIANBET YAJA NA LOOT LEGENDS, SAFARI YA WIKI 10 YA USHINDI MKUBWA….

MERIDIANBET YAJA NA LOOT LEGENDS, SAFARI YA WIKI 10 YA USHINDI MKUBWA….

Meridianbet

Meridianbet inakuletea ofa ya kipekee ya LOOT Legends, promosheni ya wiki 10 ya mashindano ya leaderboard yenye zawadi ya jumla ya hadi TZS 1.5 bilioni. Kuanzia tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025, wachezaji wataweza kucheza sloti pendwa na kupanda juu kwenye leaderboard kwa nafasi ya kushinda hadi TZS 30 milioni pesa taslimu bila masharti ya kubetia tena (wager-free).

Kila wiki kutakuwa na mashindano mapya yenye zawadi ya jumla ya TZS 150 milioni, na jumla ya zawadi zote kwa kipindi chote cha promosheni ni TZS 1.5 bilioni, zikitolewa kwa jumla ya washindi 10,000. Ili kushiriki, mchezaji anatakiwa kujisajili (opt-in) kwa mashindano ya kila wiki huku spin yoyote ya pesa halisi yenye thamani ya TZS 280 au zaidi ikikufanya kuwa mshiriki halali.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Pointi za leaderboard hutolewa kwa msingi wa win multiplier ya juu zaidi kutoka kwenye spin moja. Kwa mfano, ukibeti TZS 28,000 na kushinda TZS 7,000,000, unapata pointi 250,000. Ni spin yako moja yenye matokeo bora ndiyo itakayohesabika kwenye leaderboard kila wiki.

Washindi wa kila wiki watapata taarifa (pop-up notification) na watahitajika kubofya “Claim” ili kupokea zawadi zao ndani ya siku 7 baada ya wiki ya promosheni kumalizika. Kama operator ameunganishwa moja kwa moja na mfumo, zawadi itahifadhiwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji bila hitaji la kudai mwenyewe.

Zawadi zote ni pesa taslimu na zinaweza kutolewa papo hapo na hakuna masharti ya kuchezewa tena. Wachezaji lazima wajisajili kwa kila wiki ya mashindano ili kushiriki. Meridianbet wamehakikisha mashindano haya yamefuata taratibu zilizowekwa na serikali ya Tanzania.

Baadhi ya michezo inayoshiriki katika promosheni hii ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, 333 Boom Banks, na mingine mingi.

Usipoteze nafasi ya kuwa bingwa na kuibuka na kitita hiki cha pesa kutoka Meridianbet. Jisajili sasa na uanze safari yako ya utajiri sasa.

SOMA NA HII  GG&3+ KWA JUVENTUS VS MAN CITY INAKUPA MZIGO MARA 2