Home Meridianbet LUCKY FRIDAY, IJUMAA YA BAHATI KUTOKA MERIDIANBET……

LUCKY FRIDAY, IJUMAA YA BAHATI KUTOKA MERIDIANBET……

Meridianbet

Je, uko tayari kuipa Ijumaa yako sura mpya ya ushindi? Meridianbet imezindua promosheni kabambe inayojulikana kama “Lucky Friday“, inayokupa nafasi ya kipekee kunufaika kila mwisho wa wiki.

Kupitia promosheni hii, wachezaji wa michezo ya Lucky 6 na Keno sasa wanaweza kufurahia bonasi ya 10% cashback kila Jumamosi kutokana na kiasi walichopoteza Ijumaa iliyotangulia. Hii ni fursa adimu kwa wapenzi wa michezo ya namba, na inathibitisha jinsi Meridianbet inavyowathamini wateja wake.

Promosheni ya Lucky Friday inalenga kuongeza thamani kwa kila dau unaloweka. Unachotakiwa kufanya ni kucheza michezo ya Lucky 6 na Keno kila Ijumaa, ukitumia tiketi ya angalau TZS 500.

Kisha, kabla ya saa 5:00 asubuhi ya Jumamosi, utapata 10% ya kiasi chako kilichopotea kama bonasi ya pesa taslimu (cashback), ambayo itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Ni njia nzuri ya kupata motisha hata pale ambapo bahati haijawa upande wako kwenye jaribio la kwanza.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kiwango cha juu cha bonasi unachoweza kupata ni TZS 25,000 kwa kila wiki. Hii ina maana kuwa hata kama ulicheza tiketi nyingi na kupoteza kiasi kikubwa, bado utapokea bonasi ya hadi TZS 25,000 kwa Ijumaa hiyo. Hii ni nafasi nzuri kwa wachezaji kujaribu bahati yao mara nyingi bila hofu ya kupoteza kila kitu, kwani sehemu ya hasara zao zitarudishwa kupitia mfumo wa cashback.

Hata hivyo, Meridianbet wameweka wazi kuwa wanahifadhi haki ya kusitisha au kubadilisha promosheni hii wakati wowote iwapo kutakuwa na dalili za udanganyifu, matumizi mabaya ya sheria, au matatizo ya kiufundi yanayoweza kuathiri uhalali wa promosheni. Hii inalenga kuhakikisha kuwa mashindano yanabaki kuwa ya haki, ya uwazi, na ya kufurahisha kwa kila mshiriki.

Kwa ujumla, Lucky Friday ni zaidi ya promosheni, huu ni mwaliko wa kushiriki burudani ya michezo ya namba ukiwa na uhakika wa faraja hata unapopoteza. Sasa Ijumaa zako zina maana mpya kwani sasa ni siku ya kujaribu bahati, kujifurahisha na kusubiri Jumamosi yenye zawadi.

Jiunge na Meridianbet leo, cheza Lucky 6 na Keno kila Ijumaa, na ufurahie bonasi zako kila Jumamosi. Lucky Friday iko hapa kuongeza thamani ya mwisho wa wiki yako.

 

SOMA NA HII  NAFASI YA KUSHINDA IPO MERIDIANBET...