Home Meridianbet MERIDIANBET YAKULETEA BONASI MARA TATU KWA WAPENZI WA MICHEZO…

MERIDIANBET YAKULETEA BONASI MARA TATU KWA WAPENZI WA MICHEZO…

Meridianbet

Meridianbet inawapa wachezaji wapya fursa ya kufurahia zawadi kubwa kupitia bonasi yao inayofahamika kama 1st, 2nd & 3rd deposit welcome bonus. Kwa kujiunga na jukwaa hili bora zaidi la michezo ya ubashiri nchini, unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kuondoka na bonasi kubwa sana kila ukiongeza dau kwenye akaunti yako.

Unapoweka dau lako kwa mara ya kwanza ndani ya siku sita tangu usajili wa akaunti basi unaweza kupata 150% Sports Bonus pamoja na mizunguko ya bure hadi 150 kama ofa kubwa ya ukaribisho.

Ofa hii itapanda mpaka 200% Sports Bonus na mizunguko ya bure (free spins) mpaka 150 kwenye depositi ya pili utakayoifanya ndani ya muda uliowekwa ambao utakua ni siku nane tangu ufungue akaunti yako ya Meridianbet.

Bado bonasi itaendelea kumwagika kwenye akaunti yako kwa awamu ya tatu na itakua ni 250% Sports Bonus na mizunguko hadi 150 ya bure baada ya kufanya depositi ya tatu ambayo itabidi uhakikisha imefanyika ndani ya siku kumi tangu kusajili akaunti yako na jukwaa hili namba moja la michezo ya ubashiri nchini.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Masharti ni rahisi sana ili kukidhi vigezo vya kupata bonasi hii kubwa kwa mteja mpya. Hakikisha unaweka dau lako ndani ya muda maalum, tumia kwa masharti yaliyowekwa kwa kila awamu, na uanze kushinda mara moja.

Kuanzia kiwango cha chini cha depositi cha TZS 1,000 hadi kiwango cha juu cha Sports Bonus cha TZS 50,000, Meridianbet inaweka michezo na fursa za ushindi kwenye mikono yako. Mizunguko yote ya bure ni inaendelea kuwa halali ndani ya siku 7 baada ya ushindi, hivyo una muda wa kutosha kuongeza mafanikio yako.

Jukwaa hili linakupa urahisi wa kushiriki kupitia tovuti ya Meridianbet.co.tz au programu ya simu, huku likihakikisha kila mchezaji anakua na nafasi sawa ya kushinda. Yaani huku hakuna upendeleo, nafasi ni ya kila mtu.

Kama unatafuta jukwaa la kucheza na kushinda kwa urahisi, Meridianbet ndio jibu. Jisajili leo, fanya depositi zako mara tatu kwa mujibu wa muda uliopangwa, na uchukue bonasi zako pamoja na mizunguko ya bure. Hili sio tu jukwaa la michezo, ni uwanja wako wa ushindi. Jiunge sasa na uanze kushinda kwa kasi na ufanisi zaidi.

SOMA NA HII  NAFASI YA KUWA MILIONEA UNAYO LEO...ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA...