Home Meridianbet MERIDIANBET YATOA MSAADA WA VYAKULA KIJITONYAMA…

MERIDIANBET YATOA MSAADA WA VYAKULA KIJITONYAMA…

Meridianbet

Ikiwa leo hii ni Ijumaa ya tarehe 22 Agosti, wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameamua kugusa maisha ya wakazi wa Kijitonyama Kisiwani kwa kuwapelekea msaada wa vyakula, huku hii ikiwa ni namna ya kurejesha kwa jamii.

Msaa wa vyakula ambao Meridianbet waliupeleka ni pamoja na mchele, sukari, unga wa ugali na ngano. Sabuni za kufulia, mafuta ya kupikia na mengine mengi. Msaada huo uliwasilishwa kwa moyo wa upendo na nia njema ya kuwasaidia wale wanaokabiliana na hali ngumu ya maisha.

Kwa upande wa Meridianbet, kusaidia jamii si jambo la mara moja tu bali huu umekuwa niĀ  utamaduni uliojengwa ndani ya misingi ya kampuni hiyo. Kupitia Uwajibikaji kwa Jamii yaani (CSR), Meridianbet imekuwa ikiendesha miradi mbalimbali ya kijamii ikiwa ni pamoja na misaada kwa vituo vya watoto yatima, shule, hospitali na sasa, msaada wa chakula kwa jamii zinazohitaji.

Mpunga upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Wakazi wa Kijitonyama Kisiwani walifurahi kupata neema hii ambayo Meridianbet huitoa na pengine pia ni kwaajili ya kuwakumbusha na watu wengine pia wenye uwezo kuwakumbuka watu ambao wana uhitaji kwenye jamii zetu ambazo zinatuzunguka.

Baada ya zoezi hilo la kugawa msaada huo, wawakilishi wa Meridianbet walisema kuwa ni wajibu wa kila taasisi kushirikiana na jamii katika nyakati ngumu. “Tunaamini kuwa mafanikio ya kampuni yoyote hayawezi kutenganishwa na ustawi wa jamii inayotuzunguka. Ndio maana tumeona ni vyema kutoa mchango huu ili kupunguza makali ya maisha kwa ndugu zetu wa hapa Kisiwani,” alisema mmoja wa maafisa wa kampuni hiyo.

Baada ya kupokea msaada huo wa vyakula nao wakazi wa Kijitonyama, walisema kuwa “Huu msaada umetufariji sana. Tunaishukuru Meridianbet kwa kutukumbuka kwani si wengi wanaokumbuka jamii kama yetu,” alisema mama mmoja mkazi wa eneo hilo huku akibubujikwa na machozi ya furaha.

Msaada huu kutoka Meridianbet kwenda Kijitonyama Kisiwani ni zaidi ya msaada wa chakula ni somo la mshikamano, upendo na uwajibikaji kwa jamii. Ni mfano wa kuigwa na kampuni nyingine, na ni hatua moja mbele kuelekea Tanzania yenye mshikamano na maendeleo kwa wote.

SOMA NA HII  KAMATA PESA YA KUFUNGIA MWAKA NA SLOT YA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET CASINO.....