Home Meridianbet KARIBU PLAYSON SHORT RACES, CHEZA KWA KASI USHINDE MAMILIONI…

KARIBU PLAYSON SHORT RACES, CHEZA KWA KASI USHINDE MAMILIONI…

Meridianbet

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, anakuletea promosheni ya kasi na msisimko kupitia mashindano ya Playson Short Races. Kuanzia tarehe 9 hadi mwisho wa mwezi, mashindano haya yanafanyika kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, yakikupa nafasi ya kushinda sehemu ya zawadi ya hadi TZS bilioni 6.

Kila mchezaji aliyesajiliwa anaweza kushiriki kwa kuweka dau la TZS 600 au zaidi kwenye sloti yoyote ya Playson inayoshiriki. Kila ushindi unakupa alama kwenye jedwali la uongozi, ambapo ushindi wa awali ni TZS 3,000 ambayo ina thamani ya alama 10. Mfano, ukishinda TZS 30,000 unapata alama 100. Hakuna usajili wa ziada unaohitajika kwani michezo yote ya sasa na ijayo ya Playson inajumuishwa moja kwa moja.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Playson Short Races imetengenezwa kwa njia ambayo hata mchezaji mpya kwenye michezo ya kasino mtandaoni anaweza kushiriki kwa urahisi na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda. Zaidi ya hayo, Meridianbet inahakikisha malipo ya ushindi yanafanyika haraka, ndani ya siku tatu tu baada ya kumalizika kwa mashindano, na pesa hizo hutumwa moja kwa moja kwenye akaunti yako bila usumbufu.

Mashindano haya yanapatikana tu kwa wachezaji wanaocheza kwa pesa halisi, na zawadi za pesa taslimu huwekwa ndani ya siku tatu za kazi baada ya mashindano kumalizika huku Meridianbet ikihifadhi haki ya kubatilisha matokeo au zawadi endapo kutatokea hitilafu za kiufundi, udanganyifu au ukiukaji wa kanuni.

Usikubali nafasi hii ikupite. Tembelea meridianbet.co.tz au pakua app ya Meridianbet, cheza sloti za Playson kwa wingi uwezavyo, kusanya alama, na uandike jina lako kwenye jedwali la washindi. Bahati ni ya walio tayari, na wewe uko tayari.

SOMA NA HII  UWEZO WAKO WA KUSAFIRI UMBALI MREFU NA SUPER HELI KASINO| MAOKOTO YA KUTOSHA....