Meridianbet
MERIDIANBET YAIKUMBUKA JAMII INAYOKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI…
admin
November 21, 2025
4:18 pm
Katika kipindi ambacho familia nyingi zimekuwa zikihangaika kukabiliana na ugumu wa maisha, kampuni ya Meridianbet imejitokeza tena kama mshirika wa kweli wa jamii kwa kutoa msaada wa chakula kwa kaya zenye uhitaji jijini Dar es Salaam. Hatua hii imeleta mwanga mpya na matumaini kwa wananchi wanaopitia hali ngumu.
Kupitia mpango wake wa Corporate Social Responsibility (CSR), Meridianbet imehakikisha kuwa familia zinazoishi katika mazingira ya changamoto zinapata msaada wa bidhaa muhimu za matumizi ya kila siku. Vifurushi vilivyotolewa vimejumuisha mchele, unga, sukari, mafuta, sabuni na bidhaa nyingine za msingi zinazoweza kusaidia kaya kuhimili hatua kwa hatua misukosuko ya maisha.
Mwakilishi wa Meridianbet alisisitiza dhamira ya kampuni ya kubaki karibu na wananchi, akisema: “Maisha si mchezo, na tunatambua kwamba baadhi ya familia zimekuwa zikikabiliana na hali ngumu sana. Kwa msaada huu tunapenda kutoa ishara kwamba hawako peke yao. Kama kampuni, tunataka kuwa daraja la matumaini na faraja kwa wale wanaohangaika kupata mlo wa kila siku.”
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Wanufaika wa msaada huo waliipongeza Meridianbet kwa hatua yake ya kuendelea kugusa maisha ya watu. Wengi walisema msaada uliofika kwao umewasaidia sana wakati ambapo hali ya kiuchumi imekuwa ikiwapiga kwa pande zote. Baadhi ya wazazi walieleza jinsi msaada huo utavyowasaidia kuweka mezani mlo wa uhakika kwa watoto wao kwa siku kadhaa.
Huu si msaada wa kwanza wala wa mwisho kutoka Meridianbet. Kampuni imekuwa ikishiriki shughuli za kijamii katika maeneo mbalimbali, ikiwemo vituo vya afya, watoto yatima, mazingira na vijana. Kwa mara nyingine, Meridianbet imeonyesha kuwa mafanikio ya kampuni yanapata maana zaidi pale yanapogusia maisha ya wananchi wanaohitaji msaada wa dhati.