Home Habari za michezo WOLVE VS TOTTENHAM HOTSPUR VITA YA KUJIKWAMUA

WOLVE VS TOTTENHAM HOTSPUR VITA YA KUJIKWAMUA

0

Mchezo wa Ligi Kuu ya England kati ya Wolves na Tottenham Hotspur unaotarajiwa kupigwa Aprili 25, 2026 katika uwanja wa Molineux, ni pambano lenye umuhimu mkubwa kwa timu zote mbili kulingana na malengo yao ya msimu.

Wolves tayari imshuka Daraja mara tu baada ya kuwa na msimu mbovu amabo hadi hivi sasa wapo chini ya msimamo, huku Tottenham wakisaka ushindi ili kuendelea kushindania nafasi ilikujinasua kushuka Daraja. Kwa hali ya msimamo,

Kwa upande wa majeruhi, Wolves wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya kukosekana kwa baadhi ya wachezaji muhimu hasa katika safu ya ushambuliaji, hali inayopunguza makali yao mbele ya lango.

Tottenham nao wamepata majeruhi ya hapa na pale kwa nyota wao kama Kdus Mohammed, Odobert Wilson na Romero Cristian Gabriel lakini kikosi chao chenye nyota wengi kimewasaidia japom kuwa wamekuwa na msimu mbaya.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Katika rekodi za head-to-head, Tottenham wamekuwa na ubora wa wastani dhidi ya Wolves katika miaka ya karibuni, lakini mechi nyingi zimekuwa na ushindani mkubwa na matokeo ya karibu. Wolves mara kadhaa wamewahi kuwapa Tottenham wakati mgumu hasa wanapocheza nyumbani,

Kwa ujumla, Tottenham wanaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kupata ushindi kutokana na ubora na wapinzani wao tayari wa meshuka Daraja . Spurs atautumia mchezo huu kuvuna alama zitakazo punguza gepu dhidi ya west harm ambao wapo juu yao kwenye msimamo.

FACEBOOK/INSTAGRAM

Text:

Mechi za EPL leo unaweza Kutengeneza zaidi ya Mamilioni na Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. Kwa wale wa USSD na vitochi piga, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa.