Home Habari za michezo USHINDI MUHIMU UNAHITAJIKA KWENYE MECHI ZA LEO

USHINDI MUHIMU UNAHITAJIKA KWENYE MECHI ZA LEO

0

Ikiwa wikendi imefika, na timu kibao zinashuka dimbani kwaajili ya kuchuana vikali kusaka pointi 3, basi leo hii una nafasi ya kuondoka na kitita cha maana. Unangoja nini?. Nafasi unayo siku ya leo.

Leo hii SERIE A kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka kati ya Pissa dhidi ya US Lecce huku takwimu zikionesha kuwa wawili hawa walipokutana mara ya mwisho mwenyeji alipoteza mchezo huu, hivyo siku ya leo mechi hii ni muhimu sana kwake kupata matokeo.

Mwenyeji yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku mgeni wake akiwa nafasi ya 17 huku nao pia ushindi wa leo ni muhimu sana kwao kwani utawafanya wasogee juu ya msimamo wa ligi na wajiondoe kwenye hatihati ya kushuka daraja msimu huu.

Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia kwa upande wa kule Hispania LALIGA nayo itawaka moto vilivyo kuanzia Ijumaa hii ambapo Girona atamenyana dhidi ya Mallorca ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa kwenye ligi ni 3 pekee.

Ligi inaendelea mwishoni na zikiwa zimebaki takribani mechi 5 kumalizika kwa msimu wa ligi, kila timu sasa inapambana kufanya vyema kwenye mechi hizi zilizosalia. Girona anahitaji ushindi nyumbani leo, lakini mgeni naye anahitaji ushindi kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana.

Kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii ia machaguo zaidi ya 1000, hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka maokoto kwenye mechi hii siku ya leo. Je ni nani kuondoka na ushindi Ijumaa ya leo?. Suka jamvi hapa.

Ligi kuu ya Uingereza EPL kama kawaida kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Leeds United dhidi ya Burnley ambao wameshuka daraja baada ya kupanda daraja msimu huu. Wenyeji wanahitaji ushindi siku ya leo kwani mpaka sasa mechi zimebaki chache na presha ya kushuka daraja inazidi kuwa kubwa kwa timu zilizochini kabisa kwenye nafasi ya msimamo wa ligi.

Mara ya mwisho kukutana kati yao Burnley waliondoka na ushindi, hivyo siku ya leo ni siku ya wenyeji kulipa kisasi huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo pale Meridianbet. Hii ni moja ya mechi kali sana pale Uingereza kwani wageni wanaweza waikubali kupoteza kirahasi mechi hii. Lakini je vijana wa Daniel Farke watakubali kudondosha pointi siku ya leo?. Jisajili hapa.