Meridianbet Yabisha Hodi Hospitali Ya Wilaya Kinondoni, Mabwepande
Mafanikio ya kampuni hayaonekani tena kupitia huduma zake pekee, bali pia kupitia namna inavyogusa maisha ya watu wanaoizunguka. Hilo ndilo Meridianbet imeendelea kulithibitisha kwa vitendo, ikionesha kuwa nyuma ya jukwaa lake la burudani kuna moyo mkubwa wa kujali jamii. Safari hii kampuni imefanya ziara maalum katika Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni iliyopo Mabwepande, ambako imekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya usafi vikiwemo sanitizer, dustbins, sabuni, gumboots, mifagio, pamoja na vifaa vingine muhimu vinavyotumika katika kuhakikisha mazingira ya hospitali yanakuwa safi na salama.
Mazingira bora ya hospitali huanza na usafi. Wagonjwa wanapokuwa katika eneo safi na salama hupata utulivu wa akili, huku watumishi wa afya wakifanya kazi zao katika mazingira yanayowawezesha kutoa huduma kwa ufanisi zaidi. Kwa kutambua umuhimu huo, Meridianbet imeamua kutoa mchango wake ili kusaidia kuboresha mazingira ya Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni. Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisema kuwa kampuni hiyo inaamini mafanikio ya biashara yanapaswa kuendana na uwajibikaji kwa jamii. Alieleza kuwa Meridianbet itaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali za umma katika miradi inayolenga kuboresha maisha ya wananchi, hasa katika sekta ya afya ambayo ni msingi wa maendeleo ya taifa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni ulipokea msaada huo kwa furaha na shukrani nyingi, ukieleza kuwa vifaa vilivyotolewa vitakuwa na mchango mkubwa katika shughuli za kila siku za hospitali. Walibainisha kuwa vifaa hivyo vya usafi vitasaidia kuboresha mazingira ya tiba na kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa kwa wagonjwa. Aidha, walisisitiza kuwa ushirikiano wa aina hiyo unatoa motisha kwa taasisi nyingine kuendelea kushirikiana na sekta ya afya kwa manufaa ya jamii. Kwa Meridianbet, huu si mwanzo wa safari ya uwajibikaji kwa jamii. Kwa miaka kadhaa kampuni imeendelea kushiriki katika miradi mbalimbali ya kusaidia shule, hospitali, vituo vya watoto yatima na makundi mengine yenye uhitaji.
Meridianbet inaendelea kuwa mfano wa kuigwa. Ni kampuni inayochanganya ubunifu, teknolojia, burudani na uwajibikaji kwa jamii katika jukwaa moja. Kila unapofurahia michezo ya kasino mtandaoni au kubashiri mechi kubwa za kimataifa kupitia Meridianbet, unakuwa sehemu ya safari ya kampuni inayorudisha thamani kwa jamii kupitia miradi yenye manufaa makubwa. Huu ndio wakati wa kujiunga na familia ya Meridianbet na kufurahia burudani ya kisasa, odds kabambe na nafasi nyingi za ushindi.