Milioni Tano Zinakusubiri Kwenye Expanse Treasure Hunt
Burudani inapokutana na ushindani wa kweli ndipo hadithi za ushindi huanza kuandikwa. Meridianbet imeandaa Expanse Treasure Hunt kwa lengo la kuwapa wachezaji nafasi ya kushindania kitita cha shilingi milioni tano kupitia michezo maalum ya Expanse. Kwa dau la chini la shilingi 500 kwa kila raundi, kila mmoja anaweza kuanza safari ya kuelekea kileleni mwa msimamo huku akifurahia michezo yenye msisimko mkubwa.
Promosheni hii imejengwa kwa mfumo unaowapa nguvu washiriki wanaocheza kwa bidii. Kadiri unavyoweka mabashiri kwenye michezo inayoshiriki, ndivyo unavyoongeza nafasi ya kupanda kwenye jedwali la washindi. Hii inaleta ushindani wa kuvutia ambapo kila raundi ina thamani yake. Kupitia sehemu ya Tournaments utaweza kuona maendeleo yako na kujua hatua inayofuata kuelekea kwenye nafasi za juu.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Meridianbet imeandaa mgawanyo wa zawadi unaovutia, kuanzia milioni moja kwa mshindi wa kwanza hadi zawadi za fedha kwa washindi wanaofika nafasi ya ishirini. Mfumo huu unawapa washiriki wengi nafasi ya kutabasamu baada ya mashindano kuhitimishwa. Ni ushindani unaolenga kuwazawadia wale wanaoonyesha ari na kujituma katika safari ya kusaka hazina.
Furaha inaendelea hata baada ya promosheni kuisha kwa sababu zawadi zote za fedha zitawekwa kwenye akaunti za washindi siku inayofuata. Fedha hizo zinaweza kutolewa mara moja au kutumika kwenye michezo mingine yote ya Meridianbet bila kusubiri kwa muda mrefu. Huu ni urahisi unaowafanya washindi kufurahia matunda ya ushindi wao haraka zaidi.
Usikose nafasi ya kushiriki katika Expanse Treasure Hunt. Ingia kwenye Meridianbet, cheza michezo ya Expanse kwa dau la kuanzia shilingi 500 na uanze kupanda kwenye msimamo. Safari ya kuelekea kwenye milioni tano inaanza na mzunguko mmoja tu, na huenda hiyo ndiyo ikawa raundi itakayobadilisha historia yako ya ushindi.