Anza Msimu kwa Kujishindi Mamilioni Hapa
Ligi mbalimbali zimerejea na huu ni msimu wa kutengeneza pesa tuu. Anza safari ya ushindi hapa kwani wengi wametajirika sana. Usisubiri kuhadithiwa kwani mabingwa wote wanapatikana hapa.
Michuano ya COPPA ITALIA ya Raundi ya kwanza kupigwa ambapo Pisa ataumana vikali dhidi ya Empoli. Hii ni mechi yenye mvuto kwa sababu ni derby ya Tuscany, na kila timu inahitaji pointi 3 pekee iweze kuvuka na kwenda kwenye hatua nyingine inayofuata. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mtanange huu wa leo, hivyo jisajili hapa.
Wenyeji watakuwa na faida ya kucheza mbele ya mashabiki wao, jambo ambalo linaweza kuwa muhimu katika mchezo wa raundi ya kwanza ambapo wakiweka umakini mzuri zaidi wanaweza wakaondoka na ushindi mnono kabisa.
Lakini pia timu hiyo baada ya kupata ushindi kwenye mechi yake ya kirafiki ni ishara tosha ya kuwa imeweza kujiandaa vyema kabisa kuelekea kwenye michuano inayofuata.
Vilevile Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huku Empoli wao wana uzoefu wa kutosha katika michezo ya aina hii na historia yao dhidi ya Pisa inawapa sababu ya kujiamini. Katika rekodi ya hivi karibuni inayopatikana, Empoli wana ushindi 4, sare 1 na hawajapoteza dhidi ya Pisa katika mikutano hiyo mitano.
Mikutano yao ya mwisho katika Serie B mwaka 2020/21 ilimalizika kwa 1-1 mjini Pisa, wakati Empoli walishinda 3-1 walipokuwa wenyeji.
Hii inaonyesha kwamba Empoli wamekuwa na uwezo wa kupata matokeo mazuri dhidi ya Pisa, lakini pia Pisa anaweza kuwafanya wapate wakati mgumu hasa akiwa nyumbani. Suka jamvi la ushindi hapa.
LALIGA itaendelea kwa mchezo mmoja kati ya Deportivo La Coruna dhidi ya Elche ambapo huu ni mchezo wa ufunguzi kwa timu zote mbili kwani timu hizi ndio zinakutana kwenye msimu huu mpya wa ligi na matokeo mazuri ni muhimu kwa wote wawili.
Deportivo la Coruna ndio kwanza imepanda daraja msimu huu hivyo watakuwa na ile hamu ya kupata ushindi na ukizingatia watakuwa wakicheza nyumbani kwao mbele ya mashabiki zao. Elche wao walikuwa ligi kuu msimu uliopita na ni moja ya timu ambazo zilikuwa sumbufu sana hata kwa vilabu vikubwa.
Elche wataingia kwenye mchezo wakihitaji kujipatia ushindi ugenini lakini je wenyeji watakubali kuanza kwa kupoteza mechi?. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii ya leo. Bashiri na ushinde hapa sasa.
Wageni wao wanahitaji kupata matokeo kwenye mechi ya leo ukilinganisha kuwa wana ratiba ngumu inayokuja kwani watatakiwa kukipiga dhidi ya bingwa mtetezi wa ligi hiyo hivyo ushindi kwenye mechi hii ndio kitu kinahitajika.
Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mara ya mwisho kukutana Elche waliondoka na ushindi mnono kabisa. Je wenyeji wanaweza kulipa kisasi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.