Ubashiri Ligi ya Mabingwa: Real Madrid, Dortmund na Porto Kusaka Ushindi Leo
Kama kawaida ile siku tuliyokuwa tunaingoja imefika kwani ni siku maalumu ya kwenda kuishuhudia Ligi ya Mabingwa. Wababe wengi kushuka uwanjani kumenyana kusaka pointi 3. Je wewe unasubiri nini kujipigia mkwanja?
Tukianza na kule Santiago Bernabeu itapigwa mechi ya Real Madrid dhidi ya Inter Milan, ambapo wakali wa ubashiri wanampa nafasi kubwa ya kushinda vijana wa Mourinho kwasababu ya kuwepo nyumbani.
Real Madrid wanahitaji kurejesha heshima yao mbele ya mashabili baada ya kupoteza mechi iliyopita wakiwa ugenini na kufanya baadhi ya mashabiki kuwa na hofu juu ya kiwango ambacho walikionesha.
Vijana hao wa Mourinho wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu nzuri katika siku za ufunguzi wa Champions League. Wameshinda mechi 17 kati ya 19 za kwanza za kampeni zao za Champions League, jambo linaloonyesha uwezo wao wa kuanza mashindano haya kwa nguvu. Jisajili hapa.
Tengeneza pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Inter wanaingia Bernabéu wakiwa katika hali nzuri zaidi kwa upande wa matokeo. Wameshinda mechi zao tatu za kwanza za Serie A, na ushindi wao mkubwa zaidi ulikuwa ule wa 3-2 dhidi ya Napoli baada ya kuwa nyuma kwa mabao mawili. Lautaro Martínez alifunga mabao mawili huku Marcus Thuram akifunga bao jingine.
Pia Inter wanaonekana kuwa na faida kwenye midfield kwa sababu Real Madrid wameathiriwa na majeraha na suspensions. Barella, Çalhanoğlu na wachezaji wengine wa Inter wanaweza kujaribu kutumia udhaifu huo kwa kutawala eneo la kati.
Je nani unampa nafasi ya kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tengeneza jamvi lako la ushindi na ubeti sasa.
Lakini pia mtanange mwingine ni huu wa Borussia Dortmund dhidi ya Villarreal ambapo kila timu inahitaji kushinda kwenye mechi yao ya kwanza ambapo mchezo huu utapigwa pale Signal Iduna Park na wenyeji ndio wanapewa nafasi nzuri ya kuondoka na ushindi.
Huu ni wakati wa BVB kuthibitisha kwamba wanaweza kuonesha kiwango bora licha ya kusua sua kwenye ligi kuu kule Ujerumani. Baada ya kuanza msimu kwa changamoto, wameweza kujikusanyia kasi kupitia matokeo mazuri na kiwango bora cha ushambuliaji. Ushindi wao kwenye mechi iliyopita inawapa kujiamini kuelekea mchezo huu.
Wachezaji wenye uwezo mkubwa pia wanao kama vile Serhou Guirassy, Nmecha, Bellingham na wengine wengi ambao kwa pamoja wanafanya kikosi kuwa bora zaidi.
Vilevile Villarreal wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na mambo mengi ya kuyafanyia kazi. Mwanzo wao wa msimu wa La Liga haujawa mzuri kama walivyotarajia, huku matokeo yao yakionyesha kwamba bado wanatafuta uthabiti. Jisajili hapa.
Kipigo cha 3-2 dhidi ya Deportivo La Coruña katika mchezo wao wa mwisho kimeongeza maswali kuhusu uwezo wao wa kulinda lango, hasa wanapokutana na timu yenye kasi na nguvu ya kushambulia kama Dortmund.
Hata hivyo, Villarreal hawapaswi kuchukuliwa kama timu rahisi. Wana uzoefu wa kucheza katika mashindano ya Ulaya na wana uwezo wa kuleta matatizo kupitia umiliki wa mpira, pasi za haraka na mashambulizi ya kushtukiza. Nani kushinda mechi hii?. Bashiri sasa.
Halikadhalika nao FC Porto watakuwa kibaruani dhidi ya Manchester, mechi ambayo itapigwa katika uwanja wa City itachezwa katika uwanja wa Estádio do Dragão, ikiwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya ligi ya UEFA Champions League 2026/27 kati yao.
Hii ni mechi inayokutanisha timu mbili zinazoingia kwenye Champions League zikiwa na mwanzo mzuri wa msimu. Porto wamekuwa na matokeo mazuri ndani ya ligi yao, huku City pia wakiwa wameanza kampeni yao ya ndani kwa kiwango cha juu. ESPN inaeleza kuwa timu zote mbili zimeanza msimu wa ligi zikiwa na rekodi ya ushindi wa asilimia 100.
Porto wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na faida kubwa ya kucheza nyumbani. Estádio do Dragão ni uwanja ambao mara nyingi huweka presha kubwa kwa timu pinzani, hasa katika usiku wa Champions League.
Porto pia wameanza vizuri msimu, wakiwa wameshinda mechi zao tatu mfululizo katika mashindano mbalimbali, huku ushindi wao ukiambatana na uwezo mzuri wa kufunga. Zaidi ya hapo, wamekuwa na rekodi nzuri nyumbani katika Champions League, wakishinda nne kati ya mechi zao sita zilizopita za michuano hiyo wakiwa Dragão.
Wakati City wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na confidence kubwa. Chini ya Enzo Maresca, wameanza msimu kwa kiwango kizuri na wamekuwa na rekodi nzuri kwenye ligi.
City wana faida kubwa kwenye ubora wa midfield. Uwezo wao wa kutawala possession, kuzungusha mpira na kuwalazimisha Porto kukaa chini unaweza kuwa sehemu muhimu ya mchezo. Wanapokuwa na mpira kwa muda mrefu, Porto watalazimika kutumia nguvu nyingi katika pressing na ulinzi.
Takwimu zinaonesha kuwa mechi 4 za mwisho kukutana City wameshinda 3 na sare moja, hivyo hii ni nafasi ya wenyeji kulipa kisasi. Je wataweza mbele ya vijana hawa wa Marsca?. Odds kubwa zipo hapa. Beti sasa