Venezia vs Fiorentina
Meridianbet

Venezia, Fiorentina Kukutana Katika Vita ya Pointi tatu

Vardo September 11, 2026 2:59 pm

Ligi kuu ya italy itaendelea leo ambapo Venezia itakuwa mwenyeji wa Fiorentina, katika mchezo wa raundi ya nne ya Serie A msimu wa 2026/27. Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Stadio Pier Luigi Penzo kuanzia saa 21:45 usiku. huku timu zote zikiingia uwanjani zikiwa bado hazijapata pointi msimu huu.

Venezia wanaoongozwa na kocha Giovanni Stroppa wanashika nafasi ya 18 kwenye msimamo baada ya kuanza msimu kwa matokeo yasiyoridhisha, ikiwa imepoteza michezo yote mitatu ya ligi. Kipigo cha mwisho kilikuwa cha mabao 3-2 dhidi ya Frosinone, licha ya kufunga mabao mawili kipindi cha pili kupitia John Yeboah na Richie Sagrado. Timu hiyo sasa inahitaji ushindi ili kuanza safari yake ya kujiimarisha baada ya kurejea Serie A.

 

Kwa upande wa Fiorentina, hali ni ngumu zaidi baada ya kupoteza michezo yote mitatu ya mwanzo. Timu hiyo inashika mkia kabisa wa msimamo wakiwa wamefungwa mara tatu mfululizo tangu ligi ianze, na wakiwa na tofauti mbaya zaidi ya mabao (-8) kati ya klabu zote za Serie A. Timu hiyo imefunga bao moja pekee huku ikiruhusu mabao tisa, jambo lililosababisha kocha Fabio Grosso kuondolewa kwenye nafasi yake baada ya muda mfupi wa kuinoa timu.

 

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

 

Fiorentina sasa imemrejesha kocha Paolo Vanoli kuwa kocha mkuu, ikiwa ni mara yake ya pili kuiongoza timu hiyo. Vanoli aliisaidia Fiorentina kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja msimu uliopita, hivyo atakuwa na jukumu la kurekebisha hali ya timu kuanzia mchezo huu dhidi ya Venezia.

 

Mchezo huo unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa kwa sababu pande zote zinahitaji pointi tatu za kwanza. Venezia itategemea faida ya kucheza nyumbani, wakati Fiorentina itaingia ikiwa na matumaini mapya chini ya Vanoli. Kwa timu zote mbili, ushindi katika mchezo huu unaweza kuwa mwanzo muhimu wa kubadilisha mwelekeo wa msimu.

Dodoma Jiji vs Namungo FC: Vita ya Pointi 3 Usiku wa Leo Ligi Kuu Ladha Mpya Ya Burudani Ya Wilder Icy Fruits Kupatikana Meridianbet