Mizunguko Ya Bonasi Na Vizidishi Hadi Hadi 6,750 Vyote Ya Volcano Riches
Mchezo umeanza, Totem yupo tayari na Volcano inasubiri ishara ya kuanza mlipuko. Ndani ya Meridianbet, kila mzunguko kwenye mchezo huu inaweza kuleta sapraizi mpya kupitia Totem Wild anayejitokeza akiwa na kizidishi cha mara 2 au 3. Hapo ndipo hesabu za mchezo zinapoanza kubadilika na safari ya malipo makubwa kuanza kushika kasi.
Ukimkuta Totem Wild mmoja, bado safari haijaisha. Akijitokeza wawili au watatu kwenye mstari mmoja, vizidishi vyake vinajikusanya pamoja na kuongeza nguvu ya malipo. Ni kama timu inayokusanya nguvu kadri mchezo unavyoendelea, Totem anapoongezeka, ndivyo msisimko unavyopanda.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Lakini tukio kubwa zaidi linakuja pale Volcano inapowashwa. mizunguko ya bonasi inaweza kuanza kumiminika na kuipa safari hii sura mpya kabisa. Katika hatua hiyo, kila raundi inakuwa muhimu zaidi kwa sababu Totem zaidi wanaweza kujitokeza na kuongeza nguvu ya mlipuko.
Na hapo ndipo namba kubwa inapoingia kwenye mchezo, kizidishi cha mara 6,750. Kadri Totem wanavyoendelea kuitikia wito, ndivyo mlipuko unavyoweza kuwa mkubwa zaidi. Ni safari inayohitaji macho kuwa kwenye kila mzunguko kwa sababu hujui ni lini mchezo utaongeza kasi.
Kwa hiyo, kama unatafuta burudani yenye moto, Totem yuko tayari kwa ajili yako. Amsha nguvu yake, washa Volcano na fuatilia mizunguko ya bure namna inavyomiminika ndani ya kasino mtandaoni ya Meridianbet.