Chukua Mkwanja Wako Mapema na Meridianbet
Je unajua kuwa leo ndiyo ile siku ambayo unaweza ukaondoka na pesa za kutosha kutoka Meridianbet?. Mechi kibao za ushindi zipo kwaajili yako hivyo suka jamvi na ubashiri leo.
Michuano ya AFCON itaendelea ambapo Morocco itamenyana dhidi ya Gabon katika mchezo wa kwanza wa Kundi A kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah mjini Rabat.
Morocco inaingia ikiwa na faida ya kucheza nyumbani na ikiwa imefanya vizuri kwenye Kombe la Dunia 2026, ambako ilifika robo fainali.
Simba wa Atlas ndiyo timu inayobeba presha kubwa zaidi kwenye mchezo huu. Ikiwa nyumbani, matarajio ni kuona wakitawala mpira, wakicheza kwa kasi kupitia pembeni na kuilazimisha Gabon kujilinda kwa muda mrefu.
Lakini pia The Atlas ina kumbukumbu nzuri sana dhidi ya Gabon katika mechi zao za hivi karibuni. Iliifunga Gabon 4-1 nyumbani mwaka 2024 kabla ya kushinda tena 5-1 ugenini.
Vilevile kwa upande wa Gabon wao ni timu ambayo haiwezi kudharauliwa. Ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha mchezo kupitia mashambulizi ya haraka, lakini tatizo kubwa litakuwa namna ya kuhimili Morocco ikiwa wenyeji wataanza kulisukuma eneo lao.
Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000, hivyo unaweza ukasuka jamvi lako la ushindi na ukaibuka bingwa siku ya leo.
Pesa ndefu ipo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule UEFA Nations League Uturuki atapepeatana dhidi ya Ufaransa ambao ni mabingwa wa Kombe la Dunia 2018 kikiwa ni kikosi chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa sana kikiongozwa na nahodha wao Kylian Mbappe.
Ikumbukwe kuwa Ufaransa mpaka sasa ina kocha mpya ambaye ni Zinedine Zidane ambaye alichukua mikoba ya Deschamps amabye aliachia kazi ya kunoa kikosi icho la Bleus baada ya kumaliza nafasi ya 4 kwenye Kombe la Dunia.
Kikosi hicho kina wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa kama vile, Olise, Thuram, Dembele, Mbappe, Maignan na wengine wengi ambao kwa pamoja wana uwezo mkubwa wa kuisaidia timu. Jisajili hapa.
Huku kwa Uturuki wao ni timu ambayo ina mchanganyiko wa wachezaji wenye uwezo tofauti tofauti ambao wengi wanacheza kwenye ligi ya Uturuki, lakini wachache ndio wapo kwenye ligi zingine kama vile kina Kenan Yildiz.
Timu hizi zinatarajiwa kuchuana vikali kuwania pointi 3 muhimu kwenye mechi ya kwanza ya UEFA Nations League huku takwimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2019 ambapo hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Beti mechi hii.
Pia mechi nyingine ya kukata na shoka ni kati ya Italia dhidi ya Ubelgiji, mechi ambayo inaenda kuamuliwa
kwa uwezo wa wachezaji kwani zote hizi ni timu kubwa Duniani ambazo zina wachezaji wenye uwezo wa kufanana.
Timu ya Taifa ya Italia chini ya kocha mkuu Roberto Mancini ni timu ambayo ina uwezo mkubwa wa kutawala mpira, kujenga mashambulizi huku wakitarajiwa kutumia nafasi ambazo wanazitengeneza, na wachezaji wa kufanya hayo yote wapo kikosini hapo.
Licha ya kutoshiriki Kombe la Dunia kwa kutokufuzu, bado haiwapi wapinzani wao nafasi ya kuwabeza kwani bado wanajiamini na kujua kuwa wana nafasi ya kuondoka na ushindi leo.
Kwa upande wa Ubelgiji ni timu ambayo ina uwezo mkubwa wa kujilinda na kufanya mashambulizi kwani wachezaji wenye kasi kwenda mbele kushambulia wapo wakiongozwa na Doku, Trossard, Ketelaere, lakini pia wana wachezaji wazuri kwenye eneo la kiungo wakiongozwa na De Bruyne.
Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni msimu wa 2024 ambapo Italia waliondoka na pointi 4 huku nafasi ya ushindi kule Meridianbet leo akipewa mwenyeji. Lakini pia Odds kubwa zipo kwenye mechi hii.