Dau Dogo Kubadilisha Maisha Yako Leo
Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa ni nafasi yako na wewe na unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako na ubeti sasa.
SERIE A kule Italia itaendelea kwa mechi nyingine, lakini mechi ya kibabe ni hii ya Como 1907 dhidi ya AS Roma ambao mpaka sasa wapo kwenye nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 13.
Wakati kwa upande wa Como ya Fabregas mpaka sasa wao wapo nafasi ya 8 wakiwa na pointi 10 ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 hadi sasa, huu ni ushindi ambapo timu zote mbili unauhitaji kwa hali na mali.
Como licha ya kupotea mechi yake iliyopita, ina faidi ya kucheza mechi hii nyumbani hivyo hautakuwa ni mchezo rahisi wa wageni wao kutokana na kuwa pia wana wachezaji wazuri kwenye eneo la ushambiliaji kama vile Nico Paz.
Pesa ipo kwenye michezo Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa Roma, mchezaji wao Mallen ametoka kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kutokana na kiwango bora ambacho amekionesha mwezi September hivyo hii ni nafasi nzuri ya kuoensha hivyo pia kwenye mechi muhimu kama hizi.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapataikana kwenye mtanange huu hivyo hii ni nafasi yako wewe ya kujipigia pesa hapa.
Msimu uliopita kila timu ilishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii nani ataondoka na ushindi kwenye mechi hii ya mkondo wa kwanza?. Ingia na jisajili hapa.
Uingereza kutakuwa na mechi kubwa ambayo itavuta hisia za mashabiki wengi wa soka Duniani ambapo katika dimba la Anfield Liverpool atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Manchester City ambapo kila timu inahitaji kupata ushindi siku ya leo.
Kwenye msimamo wa ligi, Liver mpaka sasa ana pointi 9, huku City wao wakiwa na pointi 15 na ndio vinara wa ligi kuu hadi sasa wakiwa wameshinda mechi zote 5 walizocheza hadi sasa, hivyo hadi sasa tofauti yao ni pointi 6.
Hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu mbili ambazo zina makocha wapya, yaani kwa upande wa Liver Iraola ambaye alichukua mikoba ya Arne Slot, huku City wao mpaka sasa wapo chini ya Enzo Maresca ambaye ndio ameaminiwa kuchukua mikoba ya Pep Guardiola na mpaka sasa ameshinda mechi zote.
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City, lakini pia mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000. Ingia na usuke jamvi lako la ushindi hapa.
Kila timu ina wachezaji wengi tena wakubwa ambao wana uwezo wa kubadili matokeo yoyote, wakiwemo kina Erling Haaland, Enzo, Doku, na wengine, huku kwa Majogoo kuna Barcola, Wirtz, Gakpo na wengine wengi.
Takwimu zinaonesha kuwa msimu uliopita, kwenye mechi mbili za ligi ambazo wamekutana City ameibuka mshindi, hivyo hii ni nafasi ya vijana wa Iraola kulipa kisasi. Je watweza?. Beti saa.