Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!

0
Haya Mambo ya Man Of the Match Simba SC kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu, wanabeba kila Mechi. Hizi tuzo...

MAYELE AUKUBALI MZIKI WA YANGA…AKISHWA NA WACHEZAJI HAW

0
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza ndani ya FC Pyramids ya Misri Fiston Mayele, ameweka wazi kuwa mabosi wake wa zamani...

SIMON MSUVA AMKARIBISHA SAID JR IRAQ

0
MTANZANIA, Said Khamis 'Said Jr' ambaye ni kiungo mshambuliaji amepata shavu la kusajiliwa Peshmarga Sulaymaniya SC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Iraq akiungana...

VITA YA SIMBA NA YANGA IMEANZA UPYAA

2
LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa...

AHMED ALLY AWAJIBU WANAOBEZA USHINDI WA SIMBA…UBAYA UBWELA UMEANZA KUWAINGIA

0
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia 100% inayotafutwa na Kocha Fadlu...

CHADRACK BOKA ANA BALAA HUYO…YANGA ALAMA 3 KIBINDONI

1
JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga ya Muargentina Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni...

UBAYA UBWELA WATAMBA DODOMA…REFA AZUA BALAA.

0
Klabu ya Simba imeshinda mchezo wake wa pili wakiwa ugenini kwa bao 0-1 dhidi ya wenyeji Dodoma Jiji. Katika mchezo huo uliotawaliwa kwa kasi kubwa...

KIPINDI CHA KWANZA SIMBA WANASHINDANA KUKOSA MAGOLI.

1
Ni kama tu Simba kule kwenye eneo la mbele wanashindana kukosa nafasi za kufunga, Ateba nafasi tatu zote kashindwa kufunga, kwa aina ya "profile"...

HAJI MANARA KUHUSU KUMSHAURI FEISAL KUCHEZEA SIMBA NA SIO YANGA

1
Haji Manara ameoneshwa kuchukizwa na taarifa iliyokuwa inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimhusisha yeye kuzungumza na aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga na sasa ana...

KICHUYA: LILE BAO KONA SIO BORA KWANGU

0
Kichuya ni jina kubwa kwenye anga ya michezo nchini kutokana na winga Shiza Ramadhan Kichuya ambaye kwasasa anakipiga JKT Tanzania kutambulika zaidi kwa jina...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS