Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

YANGA YAIJIBU SIMBA…MCHONGO UKO HIVI…SHUKA NAYO

0
YANGA Ilikuwa ya kwanza kumfuata Yusuph Kagoma na kumsainiha mkataba wa awali, lakini Simba ikaingilia dili hilo na kupita nae kimafia. MCHONGO MZIMA ULIKUWA HIVI. Yanga...

BARUA YA WAZI..AHMED ALLY APEWE MAUA YAKE…SIMBA HAIJAKOSEA KUMSAJILI

0
Jina lake ni Ahmed Ally, A.K.A Mashine ya Kuongea au Semaji la CAF, Msemaji aliyepitia kipindi kigumu Lakini aliendelea kuisimamisha CHAPA/Brand ya Simba kileleni...

MO DEWJI AONESHA JEURI YA PESA…BIL 6 KUFANYA USAJILI TU

0
KWELI TAJIRI KAVUNJA BENKI, Unaweza kusema kivyo baada ya Muwekezaji na Raisi wa Heshima wa Simba Mohamed Dewji kuiwezesha SIMBA, kufanya fujo ya usajili...

NI MARUFUKU KUVAA JEZI ZA YANGA…MANGUNGU NA MO DEWJI WAWEKA KIPINGAMIZI

0
KABLA YA Kusafiri kwenda Misri kwaajili ya Manadalizi ya Msimu mpya, Simba ilijifungia kwenye hoteli moja eneo la Mbezi Beach na kufanya kikao kizito. Katika...

MAPYA YAIBUKA…SAKATA LA AZIZI K YANGA..HERSI AFUNGUKA

0
Rais wa Yanga, Mhandishi Hersi Said amesema hadi sasa kiungo wa klabu hiyo, Stephen Aziz Ki hajasaini mkataba mpya na kwamba mazungumzo yanaendelea na...

KIBWANA SHOMARI YUPO SANA YANGA.

0
UONGOZI wa klabu ya Young Africans SC, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo, mkatab huo...

LAMECK LAWI AICHOMOLEA SIMBA KWEUPEE..YUPO DAR NA TIMU YAKE

0
HUENDA Ulikuwa unafikiria Simba itasafiri na wachezaji wake wote kwenda Misri kwaajili ya Pre Season, lakini haipo hivyo beki Lameck Lawi yupo zake Dar...

ALIYEGOMEA MKATABA YANGA…ATAMBULISHWA SIMBA

0
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027. Awali mchezaji...

NDOTO YA YANGA ILIYOHAMIA SIMBA…FEI TOTO ANUKIA MSIMBAZI

0
BAADA ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani...

UWEZO WA BEKI MPYA WA YANGA…NINJA ASIMULIA A-Z

0
MAPACHA Wameanza kutambiana, BAADA ya Usajili wa Chadrack Boka Kukamilika wanasema kwamba Aliyesajiliwa Simba Valentin Nouma alikuwa haoni ndani kwa Boka. Beki huyo wa Kushoto...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS