Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

DUBE AMALIZANA NA AZAM FC…ML 500 ZAMPELEKA YANGA

0
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa...

NI SUALA LA MUDA TU…FEI TOTO NA AZIZ KI..WANATAMBA PANDE ZAO

0
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi...

YANGA KUFANYA USAJILI WA KIMATAIFA…VYUMA VIMEANZA KUSHUSHWA

0
UONGOZI wa Yanga chini ya Rais wake Injinia Hersi umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15...

MAZITO YAIBUKA, COASTAL UNION WARUDISHA PESA ZA SIMBA…USAJILI WA LAMECK  LAWI

0
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye akaunti ya Coastal Union kwaajili ya biashara...

USAJILI WA SAIDO WAPAMBA MOTO…KUTUA TIMU MOJA KUBWA HAPA NCHINI

0
SAA chache baada ya kutemwa na Simba, kiungo Saido Ntibazonkiza amepigiwa simu na moja ya vigogo wa juu wa Namungo akitaka huduma yake kwa...

MAPYA YAIBUKA SIMBA…CHAMA ATIBUA DILI LAKE…INSHU IKO HIVI

0
KIUNGO Mzambia Clatous Chama ameendelea kuweka ngumu kwenye kuongeza mkataba mpya na klabu yake ya sasa Simba SC. Inaelezwa kwamba Uongozi wa Simba SC unapambana...

SIMBA WAJIBU MAPIGO USAJILI WA LAWI…MAGORI AFUNGUKA KILA KITU

0
BAADA ya Wagosi wa Kaya Coastal Union kukanusha habari za mchezaji wao Lameck Lawi kusajiliwa na Simba SC, wakisem kwamba hawatambui mkataba wa Simba...

IDD PAZI AMSHAGAA BOCCO KUACHA MPIRA…MANULA AMPA MBINU

0
ALIYEWAHI kuwa Kipa wa Taifa Stars, Simba na Majimaji ya Songea Idd Pazi ameshangazwa na uamuzi wa John Bocco kustaafu soka mapema, huku akimshauri...

YANGA YAWAFICHA MASTAA WAKE ULAYA…KUANZA KUTAMBULISHWA MUDA WOWOWTE

0
YANGA inapiga hesabu kuwaficha mastaa wake Urusi kujiandaa na msimu mpya wa kimashindano, lakini iwapo itakwama kabisa basi itatua Sauzi na ikakutana uso kwa...

COASTAL UNION WAINGILIA KATI USAJILI WA LAWI…SIMBA HAWAKUFUATA TARATIBU.

0
NI MASAA MACHACHE tu Tangu utambulisho wa beki wa kati kutoka Coastal Union Lameck Lawi kufanyika kwenye klabu ya Simba, lakini tayari Uongozi wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS