Latest Posts

AUBAMEYANG AKUBALI KUBAKI ARSENAL

NAHODHA wa Klabu ya Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kusaini dili jipya la miaka mitatu ndani ya Klabu hiyo. Nyota huyo alikuwa kwenye mpango wa kuondoka…

YANGA YAMALIZANA NA KISINDA WA AS VITA

   TAARIFA za uhakika zinaeleza kuwa Yanga imemaliza na AS Vita na kumsajili mshambuliaji kinda wa AS Vita ya DRC, Tuisila Kisinda.Shughuli hiyo imefanyika jijini…