Uncategorized

BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI ZA KAZI RASMI

admin August 17, 2020 6:47 pm

 

TUNOMBE Mukoko mshambuliaji wa zamani wa AS Vita ya Congo amemalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili.

Nyota huyo anaungana na kiungo mwenzake Tuisila Kisinda ambaye naye alikuwa  anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.

Mchora ramani kwa nyota hao kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga ni Kocha Mkuu wa AS Vita, Frolent Ibenge ambaye alikuwa akiwapa sapoti mabosi wa Yanga waliowakilisha na Injinia Hersi Said kutoka Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga.

AZAM YAMALIZANA NA MTUPIAJI KUTOKA ZIMBABWE IHEFU KUFUNGUA PAZIA NA SIMBA,TANO ZA MWANZO HIZI HAPA KWA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply