BREAKING: SABILO WA POLISI TANZANIA ASAINI NAMUNGO
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania ametambulishwa leo Agosti 15 ndani ya Namungo FC kwa dili la mwaka mmoja. Sabilo alikuwa…
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania ametambulishwa leo Agosti 15 ndani ya Namungo FC kwa dili la mwaka mmoja. Sabilo alikuwa…
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya England na Manchester United, Rio Ferdinand amesema kuwa kwa kichapo cha mabao 8-2 walichokipata Barcelona kwenye mchezo…
HASSAN Mwakinyo, bondia wa ngumi za kulipwa Mtanzania anayeipeperusha vema Bendera ya Taifa kwenye ndondi, usiku wa kuamkia leo amemnyoosha kwa pointi Tshibangu Kayembe…
BAADA ya Klabu ya Yanga kupitisha panga na kuwaondoa kikosini zaidi ya wachezaji 14 waliokipiga na timu hiyo msimu huu, aliyekuwa kocha wa Yanga, Luc…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani.
KOCHA msaidizi na viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien, ndiye amekabidhiwa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kilichoanza maandalizi ya msimu mpya wa…
PAPY Tshishimbi, nahodha wa zamani wa Yanga amesema kuwa hana tatizo ikiwa Simba watamfuata ili asaini dili jipya ndani ya klabu hiyo. Tshishimbi kwa sasa…
JOASH Onyango, nyota wa zamani wa Klabu ya Gor Mahia leo ametambulishwa rasmi ndani ya Klabu ya Simba. Onyango raia wa Kenya amefanya kazi…
KUTOKA Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) wana familia watatu kwenye michezo watapewa malalamiko yao na wito kwa njia ya maandishi ili kuhuduhuria kikao cha Kamati…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa unasubiria nakala ya hukumu kutoka kwenye Kamati ya Maadili, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la…