SIMBA YAJIFUA LEO SUMBAWANGA KUELEKEA MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Shule ya St. Maurus ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mchezo wa fainali…
KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Shule ya St. Maurus ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mchezo wa fainali…
BAKARI Mwamnyeto, beki chipukizi anayekipiga ndani ya Coastal Union inaelezwa kuwa ameshatua Dar akitokea Tanga kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Yanga.Habari zinaeleza…
Kesho ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa nakala yako
Hii hapa orodha ya wachezaji 30 waliochaguliwa kuingia kwenye mchakato wa kusaka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara,2019/20 baadaye watapunguzwa kufika 10:-Nico Wadada, Idd…
KIUNGO mkabaji wa Kagera Sugar, Zawadi Peter Mauya, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga SC. Mauya amesaini mbele ya Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM…
DAVID Kameta,’Duchu’ beki wa Klabu ya Lipuli FC inaelezwa kuwa amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya Simba. Beki huyo msimu huu amekuwa…
INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wanamvutia kasi kipa namba moja wa Kagera Sugar, Benedickt Tinoco ili aongeze nguvu katika kikosi chao msimu ujao.Vita yao sasa…
UONGOZI wa Simba umetangaza kuwa wachezaji watakaobaki kuendelea kuvaa jezi za timu hiyo msimu ujao ni wale walioonyesha ubora mkubwa msimu huu wa 2019/2020. Kwa…
YANGA imedhamiria kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao ambapo mabosi wa Kamati ya Usajili chini ya udhamini wa GSM wameandaa sapraizi kubwa kwa mashabiki wao…