YANGA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA MWADUI FC TAIFA KWA KUFUNGANA BAO 1-1
YANGA leo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Mwadui FC Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Julai 18.Yanga ilianza kuandika…
YANGA leo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Mwadui FC Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Julai 18.Yanga ilianza kuandika…
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
DODOMA Jiji leo wameibuka Mabingwa wa Ligi Daraja la Kwanza kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Julai 18. Bao pekee la ushindi…
Metacha MnataJuma AbdulAdeyum SalehSaid MakapuLamine MoroKelvin YondaniMrisho NgassaFeisal SalumDavid MolingaDitram NchimbiDeus KasekeAkibaRamadhan KabwilPaul GodfreyAlly MtoniAbdulaziz MakamePatrick SibomanaErick KabambaYikpe Gnamien
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Grupo Desportivo de Chaves inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Ureno imemtengea winga wa Simba, Luis Miquissone kiasi cha shillingi bilioni 1…
ALLIANCE FC iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo ikiwa na pointi 21 baada ya kucheza mechi 35 haijawahi kusepa na pointi tatu mbele ya Simba.Imepanda…
BEKI wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’, amesema kuwa yupo fiti kwa asilimia zote, lakini anashangaa kwa nini hachezi ndani ya kikosi hicho. Dante awali alitajwa…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa leo watashinda mchezo wao wa Ligi Kuu Bara mbele ya KMC utakaopigwa Uwanja wa Gairo, Morogoro.Mtibwa…
INAELEZWA kuwa Simba imeamua kuvuruga mipango ya Yanga kwa kuipata saini ya straika wa Namungo FC, Reliants Lusajo baada ya kuzunguka upande wa pili wa…
INAELEZWA kuwa Manchester United wameamua kulifufua dili la kuisaka saini ya kinda anayekipiga Borussia Dortmund, Jadon Sancho huku wakihitaji kufanya makubaliano na mabosi wa wachezaji…