OWEN CHAIMA AMUWAZIA MAKUBWA NCHIMBI WA YANGA
OWEN Chaima kipa namba moja ndani ya Klabu ya Singida United amesema kuwa anamuombea dua nyota wa Yanga, Ditram Nchimbi afike mbali Kwenye maisha yake…
OWEN Chaima kipa namba moja ndani ya Klabu ya Singida United amesema kuwa anamuombea dua nyota wa Yanga, Ditram Nchimbi afike mbali Kwenye maisha yake…
BAADA ya kufanikiwa kufuta ukame wa miezi sita bila kufunga bao lolote ndani ya Yanga, mshambuliaji wa klabu hiyo, Yikpe Gislain Gnamien, amefunguka kilichokuwa nyuma…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
KLABU ya Simba imeeleza kuwa licha ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, wanahitaji rekodi zaidi kwa kutwaa Kombe la FA, ili…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ndani ya Klabu hiyo ni kuongeza majembe matano ya kazi pale dirisha la usajili litakapofunguliwa.Kwa sasa…
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa atakosa huduma ya viungo wake wawili Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mwadui FC wa Ligi Kuu…
Ligi Kuu Bara leo inaendelea ambapo mechi zitakuwa namna hii kwenye viwanja tofauti:- Namungo v Tanzania Prisons, Uwanja wa Majaliwa.Yanga v Mwadui FC, Uwanja wa Taifa.Ndanda…
KIUNGO mtata wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa kwa sasa ni mchezaji huru hivyo anasubiria ruhusa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),…
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa unahitaji pointi tatu mbele ya Yanga watakapokutana kesho Uwanja wa Taifa. Mwadui FC imetoka kupokea kichapo cha mabao 3-2…
KIKOSI cha Azam FC leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Lipuli FC utakaopigwa Jumapili, Uwanja wa Samora.Azam…