Ligi Kuu Bara leo inaendelea ambapo mechi zitakuwa namna hii kwenye viwanja tofauti:-
Namungo v Tanzania Prisons, Uwanja wa Majaliwa.
Yanga v Mwadui FC, Uwanja wa Taifa.
Ndanda FC v Ndanda FC, Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Ruvu Shooting v Singida United, Uwanja wa Mabatini.