ASTON VILLA YAPOTEZA MATUMAINI KUBAKI NDANI YA LIGI ENGLAND
ASTON Villa inayoshiriki Ligi Kuu England ambapo nyota Mtanzania, Mbwana Samatta anakipiga imepoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi hiyo baada ya sare ya kufungana…
ASTON Villa inayoshiriki Ligi Kuu England ambapo nyota Mtanzania, Mbwana Samatta anakipiga imepoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi hiyo baada ya sare ya kufungana…
REAL Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu, Zinadine Zidane imeshinda taji la La Liga la 34 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Villareal…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa…
KIKOSI cha Simba leo dhidi ya Mbao FC, Ally Salim ndani
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa sababu kubwa iliyowapa ushindi jana mbele ya Azam FC ni kujituma kwa wachezaji wake ndani ya uwanja muda wote…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unashangazwa na taarifa ambazo huwa zinaeleza kuwa timu hiyo huwa inamwaga dawa kwenye mechi zake pamoja na kudaiwa kupulizia dawa…
BAADA ya kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amefunguka kwa sasa kitu pekee kilichopo…
MWENDO unazidi kuwa mkali kwa timu ambazo zinapambana kushuka Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na zile ambazo zimeshapata tiketi ya kupanda ndani ya Ligi Kuu…