UWANJA WA TAIFA KUWA NA MASHABIKI ELFU 30 SIMBA V YANGA
MASHABIKI watakaoruhusiwa kuutazama mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, Julai 12 ni 30,000.Simba itakuwa uwanjani ikimenyana na Yanga kwenye mchezo huo ambao…
MASHABIKI watakaoruhusiwa kuutazama mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, Julai 12 ni 30,000.Simba itakuwa uwanjani ikimenyana na Yanga kwenye mchezo huo ambao…
JUMA Abdul nahodha wa Yanga yupo kwenye hatihati ya kuwakosa wapinzani wao Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Julai…
MUSSA Mgosi, Kocha Mkuu wa timu ya Simba Queens amesema kuwa leo wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake utakaowakutanisha dhidi ya Yanga…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mpango na mchezaji matata wa Yanga, Bernard Morrison ambaye amekuwa akitajwa kuhitajiwa na Simba.Ilikuwa inaelezwa kuwa Simba walikuwa wanahitaji…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Luc Eymael kinatarajiwa kutua leo Dar majira ya saa sita mchana kikitokea Bukoba.Yanga ilikuwa na kazi ya kumenyana…
KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, ameibuka na kutamka kuwa mashabiki waondoe hofu kwani anaendelea vizuri kiafya na Mungu akijaalia atakuwepo sehemu ya kikosi kitakachowavaa Simba.…
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Hotspur aligomea mkutano wa waandishi wa Habari baada ya mchezo wake dhidi ya Bournemouth kukamilika kwa sare…
BENO Kakolanya mlinda mlango namba mbili wa Simba amefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ndani ya Simba akiwa amekaa langoni kwenye…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa