BIASHARA UNITED KESHO WANA JAMBO LAO PALE KARUME MBELE YA RUVU SHOOTING
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kusaka ushindi mbele ya Ruvu Shooting. Mchezo huo utachezwa kesho Uwanja wa Karume…
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kusaka ushindi mbele ya Ruvu Shooting. Mchezo huo utachezwa kesho Uwanja wa Karume…
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kumenyana na Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa…
NAMUNGO FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kesho inatarajiwa kuwakosa wachezaji wake wawili muhimu kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Julai 8, itakuwa Uwanja wa Majaliwa…
LEO kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa kesho, Julai 8 dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani…
Siku chache kabla ya kuvaana na Simba kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam, Yanga imepata nguvu baada ya kurejea kundini kwa kiungo…
BEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ aliachwa hotelini na basi la timu hiyo Jumamosi jioni walipokuwa wanakwenda Uwanja wa Nangwanda Sijaona kufanya mazoezi…
Kesho ndani ya Championi Jumatano
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga uwamewalipa wachezaji wake mishahara ya miezi miwili sambamba na bonasi zao za mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la…
KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imesema kwamba hakuna mchezaji aliyeruhusiwa kucheza ligi bila ya kuwa na…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa sababu kubwa ya timu yake kupoteza kwa kufungwa mbele ya Mbeya City ni makosa ya wachezaji…